• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Mkuu wa Wilaya Ya Ilala awataka Viongozi wa Matawi, Mashina, Mitaa na Kata kutimiza majukumu yao kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Posted on: September 13th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Ilala  Mhe. Edward Mpogolo amewataka Viongozi wa Matawi, Mashina, Mitaa na Kata  Kutimiza Majukumu yao kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 sambamba na Kauli mbiu isemayo “Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze Kushiriki Uchaguzi”.

Mhe. Mpogolo ametoa wito huo Septemba 13, 2024 wakati akifanya Semina na viongozi hao katika Ukumbi wa Wikicha uliopo Banana - Jijini Dar es Salaam iliyolenga kuwakumbusha majukumu yao ya kuwahamasisha wananchi kujiandikisha kwenye daftari la Makazi ili waweze kushiriki kupiga kura.

“Nipende kuwashukuru sana kwa kujitokeza kwa wingi kwenye Semina hii ambayo ni chachu ya maendeleo katika Jiji letu na Taifa kwa ujumla , hivyo nichukue nafasi hii kuwahimiza mhakikishe mnajiandikisha kwenye Daftari la wapiga kura katika makazi yenu mnayoishi  pamoja na kuhakikisha mnawahamasisha wananchi kujiandikisha ili waweze kupiga kura kuchagua viongozi bora na wanaowapenda kwa maendeleo ya Kata zetu, Wilaya na Taifa kwa ujumla  kwani ili uweze kupiga kura nilazima uwe umejiandikisha kwenye daftari katika Mtaa wako  husika ambao umekua unaishi hivyo nitoe wito kwenu kuhakikisha mnawakumbusha wananchi kujiandikisha pamoja na kuhakikisha mnajua sifa zote za mpiga kura ili pindi zoezi likifunguliwa tarehe 11 Octoba, 2024 wananchi hao wawe wanajua ni sifa zipi anatakiwa kuwa nazo ili ajiandikishe”. Amesisitiza Mhe.Mpogolo.

Katika hatua nyingine, Mhe.Mpogolo ameeleza kuwa Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya mambo makubwa sana katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwani zaidi ya Billion 100 zimepokelewa na Halmashauri kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo Elimu, Afya na Miundombinu ya barabara ambapo miradi hii ni chachu ya kuboresha huduma za jamii kwa wananchi na kuhakikisha wananchi hao wanapata huduma bora na kwa wakati.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.