• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Mstahiki Meya Halmashauri ya Jiji la DSM afungua Ofisi ya Kata Vingunguti

Posted on: September 7th, 2023

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam leo Septemba 7, 2023 amefungua jengo la Ofisi ya Kata Vingunguti lenye thamani ya shilingi milioni 118 likiwa na ofisi tisa, ukumbi, jiko pamoja na vyoo viwili.

Akiongea na Wananchi wa Kata ya Vingunguti Mhe. Kumbilamoto amesema “ Napenda kutoa shukrani zangu kwa Mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la DSM, Kamati ya CCM Kata ya Vingunguti pamoja na Kamati ya Maendeleo ya Kata kwa ushirikiano wao katika kufanikisha ujenzi wa ofisi hii ambayo imeweza kurahisisha huduma kwa Wananchi wa Kata ya Vingunguti.”

Akitoa Shukrani zake kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Afisa Habari na Uhusiano Serikalini Bw. Hashim Jumbe amewakumbusha Wananchi wa Kata ya Vingunguti kutoa ushirikiano kwa Makarani wote wanaokusanya takwimu za wafanyabiashara kwani zoezi hilo ni la kawaida kwakuwa dhamira ya Mkurugenzi ni kutambua Idadi ya wafanyabiashara wote wanaopatikana ndani ya Halmashauri wenye leseni na wasio na leseni.

Sambamba hilo Bw. Jumbe amewaelekeza kufika ofisi za vingunguti ambapo kuna Ofisi za Kanda kwani ofisi hizo hutoa huduma mbalimbali kama vibali vya ujenzi pamoja na huduma nyingine muhimu hivyo kwa Mwananchi yoyote anayetaka huduma hizo afike ofisi za Kata vingunguti ambapo kuna ofisi za Kanda na kuweza kupatiwa huduma hizo kwa uharaka zaidi.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.