• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Naibu Waziri OR-TAMISEMI awaagiza Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri Nchini kufanya tathmini za maeneo yao ili kujiweka tayari kukabiliana na majanga ya moto

Posted on: October 3rd, 2023

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi (Mb) amewaagiza Wakuu wa Mikoa, Wilaya pamoja na Wakurugenzi wote nchini kuhakikisha wanafanya tathmini za maeneo yao hususani maeneo ya Biashara ili kujiweka tayari kukabiliana na majanga ya moto huku akiwataka kushirikiana na Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira namna gani hatua za dharura zinaweza kuchukuliwa endapo likitokea janga la moto ambapo kwa upande wa Dar es Salaam wanatakiwa kushirikiana na DAWASA wanapofanya tathmini za maeneo yao ya Kibiashara  kuepukana na janga la moto.

Mhe. Ndejembi ameyaelekeza hayo leo Oktoba 3, 2023 kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) wakati wa ziara yake ya kukagua eneo la Wafanyabiashara lililoungua na moto siku ya Jumapili Oktoba 1, 2023 maeneo ya Big Bon - Kariakoo Jijini Dar es Salaam.

Aidha Mhe. Ndejembi amewataka wafanyabiashara kuwa wavumilivu hadi Kamati ya uchunguzi iliyoundwa kutoa taarifa za moto  kukamilisha uchunguzi juu ya chanzo cha moto huo.

“Niwaombe Wafanyabiashara mliopatwa na janga hili la moto kuwa wavumilivu hadi Kamati ya Siku Saba iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa kutoa taarifa juu ya moto huo kukamilika na pindi taarifa hiyo itakapotolewa hatua stahiki zitachukuliwa papo hapo kwani Serikali yetu inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ni sikivu na inafanya utekelezaji maramoja hivyo tuwe wasikivu na wavumilivu hadi taarifa hiyo itakapotolewa kwani siku Saba sio nyingi na Mpaka kufikia leo zimebaki takribani siku nne taarifa hiyo ikamilike.”

Awali akizungumza katika eneo hilo Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo ametoa shukrani zake kwa Jeshi la Polisi pamoja na Jeshi la Zima Moto kwa juhudi walizozionesha Mpaka kuzima moto huo huku akiahidi kutekeleza yale yote aliyoagiza Mhe. Ndejembi.

“Napenda kulishukuru Jeshi la Polisi kwani pindi moto unawaka waliweza Kudhibiti Hali hiyo na watu waliokoa vitu vyao na maduka mengine hayakuweza kuibiwa, pia niwashukuru Jeshi la Zima Moto kwa uwepesi wao hadi kufanikiwa kuzima moto huo na kupunguza madhara hivyo tunasubiri taarifa ya Kamati iliyoundwa ili tuweze kujua Chanzo cha moto huo na hatua nyingine zitafuata.”

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.