• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

NYARAKA MUHIMU KWA KIKUNDI ILI KUWEZA KUOMBA MIKOPO HALMASHAURI USIO NA RIBA.

Posted on: November 29th, 2022

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kupitia idara ya maendeleo ya jamii leo tarehe 29 Novemba 2022 imeendelea kutoa mafunzo juu ya ufahamu na uelewa katika mfumo wa usajili wa vikundi ambavyo vinakidhi kupata mkopo utokanao na asilimia kumi za mapato ya ndani kutoka Halmashauri kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu, ambmafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Mikutano Anatoglou uliopo Mnazi Mmoja Dar es Salaam.

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inatekeleza hili kwa kiwango kikubwa kuhakikisha watendaji wa mtaa wanapata uelewa juu ya mfumo huu ili wawe mabalozi bora katika kufikisha elimu hii kwa wananchi ambao ni wanufaika wa moja kwa moja wa mikopo hii kuweza kujisajiri katika mfumo,ambapo Halmashauri imeweza kutoa kiasi cha fedha za kitanzania Zaidi Bilioni 17 na bilioni 5.8 kutoka katika marejesho kwa kipindi cha 2018/19 hadi  zimetolewa kwa wananchi.Mkuu wa idara ya maendeleo ya jamii  Bibi Francisca Makoye amesema.

“Serikali imeanzisha mfumo mpya waTPLM IS unawezesha kila kikundi kuwa na taarifa zake na unahusisha moja kwa moja wananchi na si busara kuwaacha watendaji wa mtaa na wenyeviti mfahamu mfumo huu karibuni katika mafunzo haya”

Akijibu swali la mwenyekiti wa wenyeviti Jimbo la Ilala ndugu Ally Mshauri ambaye pia ni mwenyekiti wa mtaa wa Mafuriko kutoka kata ya ilala Afisa TEHAMA kitengo cha Maendeleo ya jamii wakati anawasilisha mada amesema “Nyaraka muhimu kwa muombaji wa mikopo hii kwa vikundi ili kupata mikopo ni pamoja na barua kutoka serikali ya mtaa, barua pepe (email) ya kikundi,umri ambao kwa vijana kuanzia miaka 18-35 isizidi hapo,kwa walemavu hakuna mipaka ya umri,kikundi cha wanawake haruhusiwi mwanaume miaka hakuna mipakanamba za nida za wanachama wote ambapo wanachama kuanzia watano kwa vijana,kwa walemavu anaweza kuwa mtu mmoja tu kama maeneo hayo yuko pekee aidha kama mitaa mingine walemavu wapo wanaweza kuungana.

Mfomo huu watumiaji wakuu ni pamoja na kikundi husika,afisa maendeleo ya jamii katani, Mkuu wa idara ya Maendeleo ya jamii Mkurugenzi,Mweka azina na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam hivyo basi kikundi kinatakiwa kujisajili katika mfumo na kutuma maombi.

Nyaraka za usajili ni Pamoja na katiba,barua kutoka serikali ya mtaa hapa watendaji  wote lazima wajue kikundi na wakitambue,azimio la kikundi na muhtasari wa kuomba usajili.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.