• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

RC Chalamila Aridhishwa na Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

Posted on: November 20th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila aridhishwa na matumizi ya fedha na kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kupitia Fedha toka Serikali Kuu pamoja na fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.

Hayo ameeleza leo tarehe 20 Novemba, 2023 Jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi mbalimlbali ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. 

Miradi iliyotembelewa na Mkuu wa Mkoa ni pamoja ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari Mvuti inayotekelezwa kwa fedha kutoka Mradi wa Kuboresha ubora wa elimu ya shule za sekondari (SEQUIP) kiasi cha shilingi milioni 528.9 mradi ukiwa hatua mbalimbali za ukamilishaji wa madarasa 8, maabara 3, Jengo 1 la Utawala, maktaba 1, Jengo la TEHAMA, kichomea taka na matundu 8 ya vyoo, ujenzi wa Zahanati ya Nzasa wenye thamani ya shilingi milioni 150 ujenzi ukiwa umekamilika katika jengo la OPD pamoja na RCH huku ujenzi wa mfumo wa maji taka ukisubiri ujenzi wa mashimo pamoja na ujenzi wa ngazi ndipo mfumo huo uanze kutekelezwa.

Akizungumza na wananchi baada ya kukagua mradi wa Shule ya Sekondari Mvuti Mhe. Chalamila amesema ili kuacha alama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kuwekeza nguvu zaidi katika sekta ya elimu na Afya ili wananchi wapate huduma bora kwa ukaribu zaidi na kwa wakati.

"Nipende kutoa shukrani zangu za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fedha kwaajili ya kuboresha sekta ya elimu nchini ambapo katika shule mpya ya Mvuti mmepewa takribani shilingi milioni 528.9 kwaajili ya ujenzi wa shule hii hivyo nimpongeze Mkuu wa Shule pamoja na wataalamu wote wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa usimamizi mzuri wa mradi huu ambao thamani ya fedha iliyotumika inaendana na mradi wenyewe hivyo niwaombe muendelee kusimama vyema miradi mingine inayotekelezwa kwa kuiga mfano wa shule ya Mvuti Mpya pia muhakikishe mfumo wa maji taka katika Zahanati ya Nzasa unaanza utekelezaji na mifereji ya maji ijengwe ili maji yasiweze kutuama.”

Sambamba na hilo RC Chalamila amesema katika kipindi hichi cha mvua hakuna eneo lolote la Mkoa huo lililoripotiwa kuwa na mafuriko, ingawa miundombinu ya barabara imeharibika na kumuelekeza Mkuu wa Wilaya ya Ilala kuhakikisha mvua zikikata aungane na wataalamu kutembelea maeneo yaliyoadhiriwa na mvua ili yaweze kufanyiwa marekebisho ya muda mrefu huku akisisitiza kipindi hichi cha mvua barabara zisifanyiwe marekebisho ya muda mfupi ambayo yataleta athari zaidi bali ikitokea eneo hilo linastahili marekebisho ya muda mfupi lifanyiwe marekebisho huku akiwataka wazazi kuwaangalia watoto wao kwa ukaribu zaidi kipindi hichi cha mvua ili kuepukana na athari zinazojitokeza.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo ametoa shukurani zake kwa Mkuu wa Mkoa kwa Ziara aliyoifanya ya kukagua miradi ya Maendeleo pamoja na kuongea na wananchi huku akimuhakikishia kutekeleza yote aliyoyaagiza.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.