• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

RC Makalla apiga marufuku michango Mashuleni hadi hapo atakapotangaza utaratibu mwingine

Posted on: September 21st, 2021

Na; Judith Msuya na Miraji Omary.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Amos Makalla, leo Septemba 1, 2021 amesimamisha michango yote wanayotozwa Wanafuunzi wa Shule za Msingi na Sekondari mpaka hapo ambapo utaratibu utakapo fuatwa wa kuwashirikisha Wananchi nayeye kuridhia. 

Maelekezo hayo ameyatoa baada ya kupokea kero za Wananchi kwenye mwendelezo wa ziara yake ya kusikiliza na kutatua kero za Wananchi wa Jimbo la Segerea ambao Wazazi wamedai wamekuwa wakichangia kiasi cha Shilingi 300 hadi Tsh 1,000 kwaajili ya gharama za uchapaji wa Mitihani pamoja na masomo ya ziada ambayo ni  kinyume na waraka wa Elimu bure ambapo imeonekana wazazi na walezi kushindwa kuhimili michango hiyo

Aidha, Mhe. Makalla amesisitiza kuwepo na maridhiano baina ya Wazazi na Walimu juu ya michango inayotolewa Shuleni endapo wakiridhia michango hiyo watume maombi kwa ofisi za Mkuu wa Wilaya ili ziweze kuidhinisha michango hiyo."Kama wazazi au walezi wamekubaliana na walimu na kuitishwa mkutano, wazazi hao wanatakiwa kuorodhesha majina yao pamoja na kuweka sahihi kwamba wamekubali Watoto wao wasome masome ya ziada au wale chakula cha shule, tupo tayari barua hizo zinakuja na zipitie kwa Mkuu wa Wilaya ili ziweze kunifikia na mimi nitapitisha ilimradi wananchi washirikishwe na mimi nitaidhinisha ili muendelee kusudi tuepushe kero ndogondogo zinazojitokeza baina yetu na wananchi wetu."Amesema RC Makalla

Sambamba na agizo hilo lakini pia Mkuu wa Mkoa ameelekeza kuwa kwakua kuna uhaba wa ardhi katika maeneo mengi ya Shule hivyo fedha zinazotolewa kwaajili ya ujenzi wa madarasa zitumike kujenga madarasa ya juu  kusudi  eneo dogo liweze kujenga madarasa yakutosha. "Tumeamua fedha zote zinazotolewa kwaajili ya mradi wa  ujenzi wa Shule zitumike kujenga madarasa ya juu ili tutumie eneo dogo ambalo litaweza kutoa madarasa mengi na yatakayowatosha wanafunzi wengi  zaidi  hayo ndio maelekezo yangu kwa Ofisi ya Mkurugenzi".

Naye Afisa Elimu Takwimu na Vielelezo Bi.Wema Kajigili ameahidi kutekeleza maagizo yaliyotolewa na Mkuu wa Mkoa ikiwemo suala zima la kusitisha michango kwa wanafunzi hadi utaratibu mwingine utakapotolewa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.