• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

RC Makalla apokea kero za Wananchi Wa Jimbo la Segerea na kuzipatia majibu

Posted on: September 1st, 2021


Na:Amanzi kimonjo.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Amos Makalla leo September 1, 2021 amefanya ziara maalumu inayolenga kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Jimbo la Segerea ambapo mamia ya wananchi wa Jimbo la Segerea wamejitokeza katika viwanja nya Buguruni Ghana ili kuweza kuwasilisha kero zao.

Aidha miongoni mwa kero zilizoweza kuwasilishwa na Wananchi wa Jimbo la Segerea kwa Mkuu wa Mkoa Mh. Makala ni Pamoja na migogoro ya ardhi, ufanyaji biashara holela, kero ya Mitaro, ubovu wa miundombinu ikiwepo ubovu wa barabara, sekta ya Afya, sekta ya Maji na uchafu wa mazingira

Katika Mkutano huo RC. Makala ameweza kutatua kero za Wananchi wa Jimbo la Segerea ikiwemo kero za ardhi ambapo imeonekana wananchi wengi wanakabiliwa na kero ya migogoro ya ardhi ikiwemo migogoro ya viwanja na maeneo wanayoyamiliki kumilikiwa na watu wengine, pia kwa baadhi ya kero RC. Makalla aliweza kuzielekeza kwa Viongozi  wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuhakikisha wanafuatilia kero hizo ili kuweza kuzitatua na kuzipatia ufumbuzi.

Kwa upande mwingine Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam amesisitiza Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam katika kushiriki kuchoma chanjo ya UVICO 19.”wajibu wetu ni kuhamasisha kuhusu chanjo, fanya maaamuzi Raisi amechanja, mimi nimechanja na wewe fanya maamuzi ya kuchanja kwani mabanda katika Viwanja vya Buguruni Ghana yapo na chanjo  hivyo tujitokeze kwa wingi kuchanja  siku hii ya leo ambapo chanjo imetufikia mahali tulipo kwani Mkoa wa Dar es Salaam umeshika nafasi ya kwanza kitakwimu kuwa na idadi kubwa ya watu waliojitokeza kuchoma chanjo ya UVIKO – 19.”Amesema RC. Makalla

Sambamba na hilo mabanda hayo pia yameweza kutufikishia huduma nyingine za afya kama kupima malaria, sukari, presha Pamoja na UKIMWI kwani huduma hizo zinatolewa bure bila malipo yeyote.

Katika Mkutano huo RC. Makala amefanikiwa kwa kiasi kikubwa  kutatua kero za Wananchi wa Jimbo la Segerea ikiwemo kero za ardhi ambapo imeonekana wananchi wengi wanakabiliwa na kero ya migogoro ya ardhi ikiwemo migogoro ya viwanja na maeneo wanayoyamiliki kumilikiwa na watu wengine, pia kwa baadhi ya kero RC. Makalla aliweza kuzielekeza kwa viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuhakikisha wanafuatilia kero hizo ili kuweza kuzitatua na kuzipatia ufumbuzi.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.