• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Teknolojia za kilimo, mifugo na uvuvi katika banda la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Zang’ara.

Posted on: August 5th, 2023


Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam  imeshiriki kikamilifu katika maonesho ya sikukuu ya Wakulima Katika kanda ya Mashariki inayojumuisha mikoa ya Tanga, Pwani, Morogoro na Dar es Salaam yanayofanyika katika mkoa wa Morogoro , Viwanja vya Julius Kambarage Nyerere kuanzia tarehe 1-8 Agosti kila mwaka.

Katika Maonesho ya mwaka 2023 kaulimbiu ni Vijana na Wanawake ni Msingi Imara ya Mifumo Endelevu ya Chakula.

Katika Banda la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam limetembelewa na viongozi pamoja na wananchi wanaotoka katika maeneo mbalimbali, wakionesha kufurahishwa na kujifunza teknolojia  zilizosheheni ubunifu  na  kuleta tija katika uzalishaji.

Tukianza na Sekta ya Kilimo wameweza kujifunza teknolojia mbalimbali zikiwa ni pamoja naKilimo cha utengenezaji wa ustani za nyumbani , Kilimo cha uyoga na mapishi ya uyoga, kilimo cha bila kutumia udongo, Umwagiliaji kwa njia ya matone, kilimo cha mbogamboga kwa kutumia Kitalunyumba, uzalishaji wa miche bora ya matunda pamoja na kilimo cha mjini.

Aidha katika Mifugo wameweza kujifunza teknolojia kama Ufugaji wa kuku chotara, ufugaji wa Ng’ombe wa maziwa, Usindikaji wa maziwa, Ufugaji wa Bata bukini, Kuku wa Asili, Ufugaji wa Mbwa , uzalishaji wa malisho ya mifugo pamoja na upimaji wa ubora wa maziwa.

Hali Kadhalika katika Uvuvi wameweza kujifunza Ufugaji Samaki kwenye Tenki, Upimaji wa ubora wa mabwawa, Utotoleshaji vifaranga vya samaki, utengenezaji wa chakula cha samaki, Ufugaji wa Samaki  kwenye bwawa lisilo la kuchibwa pamoja na Usindikaji mazao ya Uvuvi.

Aidha Halmashauri ya Jiji la Da es Salaam imetekeleza  kwa vitendo sera ya kila Halamshauri kutenga asilimia 10% ya mapato yake ya ndani kutoa mikopo kwa Wanawake Vijana, na watu wenye ulemavu  ambapo katika banda  la Jiji  Wajasiriamali waliowezeshwa kupitia  10% wamepewa fursa ya kuonesha bidhaa  walizozitengeneza na mazao  yatokanayo na kilimo na mifugo  kwa kuongeza thamani  ikiwa ni pamoja na bidhaa za usindikaji kama viungo  vya chakula, Unga lishe, Maziwa,  mvinyo na asali  bidhaa zinazotokana na zao la ngozi kama mikoba, viatu,mikanda pamoja kofia.




Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.