• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Uadilifu ndio nguzo muhimu ya kuzuia mianya ya rushwa kwa maslahi ya wananchi na Taifa kwa ujumla

Posted on: October 5th, 2024

Mkuu wa Uelimishaji Umma TAKUKURU Ilala Bi. Nerry Mwakyusa ametoa wito kwa Wajumbe wa Kamati za Huduma za mikopo ngazi ya Kata, Halmashuri na Wilaya kuhakikisha wanakua waadilifu katika utoaji na usimamizi wa Mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya Wananwake, Vijana na Watu wenye ulemavu lengo likiwa ni kuhakikisha mikopo hiyo inawafikia walengwa katika kijikwamua Kiuchumi.

Bi. Mwakyusa ametoa wito huo leo Octoba 5, 2024 wakati akiwasilisha mada mbalimbali kuhusu viashiria vya rushwa na namna ya kuthibiti mianya ya rushwa wakati wa utoaji wa mikopo hiyo ikiwa ni siku ya pili ya muendelezo wa mafunzo ya Wajumbe wa Kamati za Huduma za mikopo ngazi ya Kata, Halmashuri na Wilaya ya utoaji na usimamizi wa mikopo ya asilimia (10%) kwa vikundi vya Wananwake, Vijana na Watu wenye ulemavu yanayofanyika kwa katika Ukumbi wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere Iliyopo Kibaha Mkoani Pwani.

Aidha Bi. Mwakyusa ametoa wito kwa wajumbe hao kuhakikisha wanafuata sheria na taratibu katika utoaji wa mikopo hio ili kutimiza adhma ya Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha wananchi wanajikwamua kiuchumi na kuondokana na umaskini.

"Mafunzo haya yamelenga kuwakumbusha wajumbe kutekeleza  majukumu yao katika kuzuia na kupambana na rushwa wakati wa utoaji na usimamizi wa mikopo hii ili kuondoa sintofahamu zilizojitokeza hapo awali lakini pia kufanya kazi kwa uadilifu kwa kuzingatia maadili ya kazi yao kwa maslahi mapana ya Taifa letu." Amesisitiza Bi. Mwakyusa.



Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.