• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Madiwani Jiji la DSM wapatiwa mafunzo ya Bajeti

Posted on: February 14th, 2024

Waheshimiwa Madiwani wa Jiji la Dar es Salaam Leo 14 Februari, 2024 wamepatiwa mafunzo ya bajeti ya mapato yanayokusanywa na Halmashauri ya Jiji la DSM yenye lengo la kupata uelewa wa pamoja juu ya matumizi ya fedha za Halmashauri.

Akiongea katika mafunzo hayo yaliyohudhuriwa na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Ilala, Waheshimiwa Madiwani na Wakuu wa Idara, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala Ndg. Said Sidde amesema  “Ili Halmshauri yetu iweze kufanikiwa katika miradi mbalimbali inahitaji mambo matano ambayo ni weledi katika Usimamizi wa mapato, Usimamizi mzuri wa miradi kwa Madiwani na Chama, Uwajibikaji wa watumishi, mgawanyo mzuri wa fedha na pia mpango kazi. Hivyo niwaombe wote tusimame kwenye maeneo haya ili tuweze kufikia malengo tuliyojiwekea."

Sambamba na hilo Ndg. Sidde amemshukuru Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la DSM kwa kuandaa mafunzo hayo, na kuwataka madiwani kuwa na ushirikiano na upendo katika kutekeleza miradi kwa maslahi ya wananchi wa Wilaya ya Ilala.

Aidha, Mstahiki Meya Mhe. Omary Kumbilamoto amesema “Miradi yote katika Halmashauri yetu inatekelezwa kwa usawa. Nimpongeze Mkurugenzi pamoja na Watumishi wote kwa kuendelea kusimamia miradi kwa ufanisi na kuhakikisha inaendana thamani ya pesa inayotolewa."

Awali akitoa mafunzo hayo, Mkurugenzi wa Jiji la DSM Jomaary Satura amesema lengo la mafunzo hayo ni kuwa na uelewa wa pamoja na uwazi juu ya mapato na matumizi ya Halmashauri.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.