• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Wakuu wa Wilaya wapya waapishwa

Posted on: June 21st, 2021

Na: Rosetha Gange na Judith Damas

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla  leo Tarehe 21 Juni 2021 amewaapisha Wakuu wapya wa Wilaya walioteuliwa tarehe 19 Juni 2021 na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika ukumbi wa Arnatoglou uliopo Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.

Hafla hiyo ya uapisho iliwajumuisha Wakuu wote wa Wilaya tano(5) za Mkoa wa Dar es Salaam,ambapo Wakuu wa Wilaya wawili ambao ni wapya waliweza kuapa akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni  Mhe. Fatma Almas Nyangasa  na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe.Kheri Denice James. Wakuu wa Wilaya Waliosalia hawakuweza kuapa kwa kuwa wawili walibadilishwa vituo vya kazi akiwemo  aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe ambae sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Urban Mwegelo na aliyekuwa MKuu wa Wilaya ya Temeke ambaye sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni  Mhe.Godwin Crydon Gondwe huku Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe.Ng’wilabuzu Ndwata Ludigija akibaki katika Wilaya aliyopangiwa  awali.

Akizungumza na  Wakuu wa Wilaya Wateule baada ya uapisho Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Amos Makala alitoa pongezi kwa Wakuu wa Wilaya wapya na kumshukuru  Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa uteuzi alioufanya.

Aidha, Mhe. Makalla aliweza kuwaelekeza Wakuu wa Wilaya hao vipaumbele vyake katika utendaji wa kazi ikiwemo ukusanyaji wa mapato ili Serikali iweze kuwahudumia Wananchi wake na kuleta maendeleo katika Taifa, usikilizaji na utatuzi wa kero za Wananchi kuanzia Ngazi ya Mtaa mpaka katika Halmashauri zao,kusimamia ulinzi na usalama kwa kuweka mikakati ya kudhibiti Uhalifu, kusimamia usafi wa mazingira ili kuweka Mkoa katika hali ya usfi pamoja na usimamizi,ufuatiliaji na utekelezaji  wa miradi ya maendeleo.Sambamba na hayo amesema; “Nendeni  mkatimize wajibu wenu ipasavyo na mkatekeleze  matarajio ya Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwani amewaamini na ndio maana amewapa nafasi hizo.”

Akitoa neno la Shukurani kwa niaba ya Wakuu wa Wilaya wengine,   Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Ng’wilabuzu Ludigija aliahidi kufanya kazi kwa ushirikiano na watendaji wenzake pamoja na kuyapokea maagizo yote yaliyoagizwa na mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam vilevile kuyatekeleza majukumu yao yote kwa weledi.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.