• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Wanafunzi wa Shule za Sekondari na Msingi Zanaki wahimizwa kutunza Mazingira kwa kutenganisha Taka

Posted on: August 29th, 2024

Katika kuhakikisha Mazingira yanakua safi, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kupitia Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira pamoja na Kitengo cha Usafishaji na Udhibiti wa Taka Ngumu kwa kushirikiana na Taasisi ya Eco Green Enviroment na BUDEO (BUGURUNI DEVELOPMENT ORGANISATION) leo Agosti 29, 2024 wametoa elimu kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari Zanaki jinsi ya utenganishaji taka katika makundi matatu ambayo ni taka zitokanazo na mabaki ya vyakula, taka za plastiki pamoja na taka za karatasi lengo likiwa ni kuhakikisha wanafunzi hao wanafahamu umuhimu wa kutenganisha taka, ili kuboresha mazingira yanayowanzunguka na kuchangia maendeleo endelevu na yasiyo na uchafuzi.

Akitoa Elimu kwa Wanafunzi hao, Afisa Afya na Mazingira Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Bi. Sarah Mwakijolo amesema kutenganisha taka kunahusiana na usafi wa mazingira ya watu na matumizi ya raslimali kwa kubana matumizi kwani  kupitia usimamizi na mwongozo Jiji la Dar es Salaam linaweza kufanya watu washiriki zaidi kwenye kuendeleza desturi ya kutenganisha taka, kuboresha mazingira ya kuishi na kuchangia maendeleo endelevu yasiyo na uchafuzi huku akitoa wito kwa wanafunzi hao kuwa mabalozi wa kutunza mazingira kuanzia kwenye ngazi ya familia mpaka mashuleni kwa ustawi wa afya zao .

Sambamba na hilo Bi. Mwakijolo amewasisitiza wanafunzi hao kuwa mabalozi wa kuweka mazingira kwa kupeleka elimu majumbani mwao pamoja na  kuhakikisha hawatupi taka hovyo ili kutunza mazingira pamoja na kuepukana na magonjwa ya milipuko kama Kipundupindu.

Aidha Mradi wa kutoa elimu kwa vitendo juu ya utenganishaji taka Mashuleni unatarajiwa kuzinduliwa rasmi Agosti 30, 2024 katika Shule ya Sekondari Zanaki ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) sambamba na kauli mbiu isemyo “Zingatia utenganishaji taka kwa Utunzaji wa Mazingira”.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.