• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Watendaji Jiji la DSM wahimizwa kutengeneza mazingira wezeshi katika Ukusanyaji wa Mapato

Posted on: August 19th, 2024

Watendaji wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wamehimizwa kutengeneza mazingira wezeshi katika ukusanyaji wa mapato kwa kusimamia utaratibu pamoja na kuweka mazingira rahisi kwa wafanyabiashara ambao ndio wachangiaji wakubwa wa mapato kupitia kodi wanazotoa.

Hayo yamebainishwa leo Agosti 19, 2024 na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Elihuruma Mabelya wakati akikabidhiwa ofisi na Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji hilo Jomaary Satura ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke.

Aidha, Ndg. Mabelya amesisitiza ushirikiano na Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam huku akiwahakikishia kuendelea kufanya vizuri zaidi katika kuwahudumia Wananchi lengo likiwa ni kutimiza adhma ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluh Hassan ya kuwahudumia wananchi kwa wakati na ukaribu zaidi.

“Nipende kumpongeza Ndg. Satura  kwa  historia aliyoiweka katika ukusanyaji wa mapato, ninaamini tutashirikiana vizuri katika kutimiza majukumu ya Halmashauri kwa kuacha alama kama Mkurugenzi alivyoacha huku tukiwahudumia wananchi kwa ukaribu zaidi kwa kutekeleza na  kuimarisha haya tuliyoyakuta hivyo Niombe ushirikiano wenu katika kuendelea kuimarisha Jiji letu.” Amesisitiza Mkurugenzi Mabelya.

Sambamba na hilo, Ndg. Mabelya amehimiza kuimarisha mahusiano na Watumishi wa Jiji la Dar es Salaam huku akiwahimiza kujikita zaidi katika kutenda ili kuhakikisha huduma bora zinawafikia Wananchi kwa ukaribu zaidi.

Awali Akimkabidhi Ofisi aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam ambaye kwa Sasa ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Jomaary Satura ameishukuru Menejimenti ya Jiji la Dar es Salaam kwa ushirikiano waliomuonesha wakati wa Utumishi wake hususani eneo la ukusanyaji wa mapato.

Kwa upande wake Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mhe. Omary Kumbilamoto amemshukuru Ndg. Satura kwa kazi nzuri aliyoifanya ya ukusanyaji wa mapato wakati wa utumishi wake akiwa Jiji la Dar es Salaam huku akiiahidi Ushirikiano kwa Mkurugenzi mpya katika kuendeleza yale yale yote yaliyokwisha kufanyika lengo likiwa ni kuhakikisha huduma bora zinawafikia wananchi kwa ukaribu na kwa wakati zaidi.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.