• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Watendaji na Wenyeviti wa Mtaa Jiji la DSM Kushirikiana bega kwa bega kufuatilia marejesho ya mikopo katika vikundi

Posted on: November 30th, 2022

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam leo tarehe 30 Novemba 2022 limeweza kukamilisha mafunzo ya ufahamu wa mfumo wa kujisajili vikundi kwa wenyeviti na watendaji wa mtaa kutoka jimbo la Segerea, mfumo huu ni maalumu kwa  vijana, wanawake na watu wenye ulemavu ambapo Mikopo hiyo inatolewa na Halmashauri kutoka katika asilimia kumi ya mapato ya ndani ya Halmashauri kuweza kujisajili wakati wa kuomba mikopo.

Huu ni mwendelezo kwa Jimbo la Segerea ambapo siku ya tarehe 28 ilikua Jimbo la Ukonga na tarehe 29 jimbo la Ilala kikao hiki kimefanyika katika ukumbi wa Mikutano Anatoglou uliopo Mnazi Mmoja Dar es Salaam.

Akiwasilisha mada na taarifa juu ya vikundi mbalimbali ambavyo tayari vimechukua mkopo,Mkuu wa kamati ya Ufuatiliaji urejeshwaji wa mikopo Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaaam Bibi Margaresa Mazwile amesema. “Ushiriki wenu wenyeviti na watendaji wa mtaa ni kushirikiana na nyinyi katika kufuatilia marejesho ya mikopo hii kutoka kwa wananchi waweze kurejesha kwa sababu kulipa kwao kunaongeza nafasi na  kukuza wigo wa kuzidi kukopesha vikundi vingine ambavyo vinasubiri mkopo”

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inatekeleza maagizo haya ya utoaji mkopo kwa wananchi kwa kiwango kikubwa na cha kuridhisha hivyo basi kimeandaa mpango mkakati wa kuweza kuwa bega kwa bega na wanyeviti na watendaji wote katika majimbo yote matatu yaliopo ndani ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ili kuweza kufuatilia mikopo hii kukuza ushirikiano kwa viongozi hawa wa chini utadumishwa daima.

Akiongea Mwenyekiti wa kikao hiki kati ya kamati ya maendeleo ya jamii kutoka Ofisi ya Mkurugenzi na watendaji wa mtaa na wenyeviti bwana George S. Mtambalike ambaye pia ni mwenyekiti wa wenyeviti Jimbo la Segerea amesema

“Tunashukuru kwa mafunzo haya ya ufahamu katika mfumo huu Pamoja na kutambua taratibu zote za uombaji wa mikopo tunahaidi ushirikiano wetu kwenu na ushirikiano huu uanzie huku chini tutafanikiwa”.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.