• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Waziri Mchengerwa awaagiza Wakuu wa Mikoa kufanya uwiano wa walimu mashuleni

Posted on: January 8th, 2024

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa maelekezo kwa Wakuu wa Mikoa kufanya uwiano sawa wa walimu katika shule zote za Serikali.

Hayo ameyaeleza leo Januari 8, 2024 alipotembelea shule ya Sekondari Benjamin Mkapa kwenye ziara ya kukagua mapokezi ya wanafunzi wapya wa kidato cha kwanza kwa muhula wa kwanza kwa mwaka 2024 pamoja na kukagua ujenzi wa maktaba pamoja na kiwanja cha mpira.

Akizungumza na wanafunzi katika shule hiyo Waziri Mchengerwa amesema ”Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anadhamiria kuifanya sekta ya elimu iwe sawa katika maeneo yote nchini. Lengo ni kutaka shule za Serikali kuwa bora kuliko shule binafsi, hivyo niwaombe Wakuu wa Mikoa yote kusimamia na kuhakikisha kunakua na uwiano sawa wa walimu katika shule zote kulingana na wanafunzi waliopo shuleni, ili wanafunzi wetu waweze kupata elimu sawa."

Sambamba na hilo Mhe. Mchengerwa amesema “Rais ametoa kiasi Cha shilingi bilioni 33.3 kwa ajili ya elimu bure kote nchini, hivyo niwatake wazazi wenye watoto waliofaulu kuwaleta shuleni kwani walimu wako tayari kutoa elimu ambayo Mhe. Rais ameikusudia. Pia nawasihi wanafunzi mlioanza kidato Cha kwanza kuhakikisha mnasoma kwa bidii ili kuzifikia ndoto zenu"

Aidha, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila amemshukuru Waziri Mchengerwa kwa kutembelea shule ya Sekondari Benjamin Mkapa. Pia amesema "Shule hii ni moja ya shule kubwa nchini na ina wanafunzi wengi lakini inakabiliwa na changamoto ya kutokua na gari la dharura pale kunapotokea shida kwa wanafunzi hivyo nakuomba utufikishie ombi letu kwa Waziri wa Fedha ili tupate gari kwa ajili ya dharua shuleni hapa."

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.