JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

JIJI LA DAR ES SALAAM

Tarehe: 10 March, 2017

Mahali: Karimjee Hall

Muda: 10:00 - 15:30

Maelezo Ya Tukio:

TANGAZO 

WANANCHI WOTE WA JIJI LA DAR ES SALAAM MNAARIFIWA KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI WA HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM SIKU YA YA IJUMAA TAREHE 10 MACHI, 2017 UTAKAOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE SAA 4:00 ASUBUHI.


N.B: TAFADHALI UPATAPO UJUMBE HUUMJULISHE NA

MWINGINE KWA UFAHAMU


UTAWALA,

06 MACHI, 2017.