Kibali cha kuendesha pikipiki za magurudumu mawili/matatu katikati ya Jiji kinatolewa kwa muda usiozidi majuma mawili mara baada ya kuwasilisha nyaraka zote muhimu na malipo kufanyika.
Jiji la Dar es Salaam linaundwa na Mamlaka sita (6) za Serikali za Mitaa ambazo ni:
Kibali cha kuendesha pikipiki za magurudumu mawili/matatu katikati ya Jiji ni Sh. 180,000 kwa mwaka mmoja na Sh. 100,000 kwa miezi sita
Maombi yatafanywa kwa kupitia mtandao unaopatikana kwa kupitia anuani pangisha.tamisemi.go.tz kuanzia tarehe 09-25 Novemba, 2020.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 20950
Simu ya mezani: 2128800
Namba ya Mkononi:
Barua Pepe: info@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.