Idara ya Udhibiti Taka ni kati ya Idara tano na Vitengo vinne vinavyounda Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Idara inatekeleza majukumu yake kwa kuzingatia dira na dhamira ya Halmashauri ya Jiji. Katika kutekeleza hayo, Idara ina jukumu kubwa la kuratibu shughuli za usafi wa mazingira na kusimamia shughuli za Dampo. Idara pamoja na majukumu ya kiutawala inaratibu shughuli zote za Idara kupitia vitengo vyake viwili ambavyo ni :-
Lengo kuu la Idara ni kuwa na jamii yenye afya bora na inayoishi katika mazingira safi.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 9084
Simu ya mezani: +255 22 2123551
Namba ya Mkononi: 0715046974
Barua Pepe: cd@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.