• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Idara ya Ujenzi

Idara ya Ujenzi imegawanyika katika sehemu kuu mbili, ambazo ni:-

  1. Sehemu ya Barabara
  2. Sehemu ya Majengo na Miliki

Sehemu ya Barabara

Sehemu ya Barabara chini ya Mhandisi wa Barabara na Mhandisi wa Mitambo, husimamia na kusanifu miradi ya ujenzi, ukarabati na kuratibu matengenezo ya barabara na kufanya matengenezo ya magari na mitambo ya Halmashauri ya Jiji, Halmashauri za Manispaa za Jiji la Dar es Salaam na Taasisi za watu binafsi. Barabara hizi ni zile zinazohudumiwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam katika Dampo la Pugu Kinyamwezi.

Sehemu ya Majengo na Milki

Sehemu ya Majengo na Miliki chini ya usimamizi wa Mhandisi wa Majengo hushughulikia usanifu, ujenzi, kazi za umeme na matengenezo ya nyumba, kumbi na Ofisi zote za Halmashauri ya Jiji,  Dampo la Pugu Kinyamwezi, Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo mikoani Ubungo (UBT) na soko la wafanya biashara ndogo ndogo la  Ilala Business Park maarufu kama Machinga Complex.

Kila sehemu imepangiwa majukumu yake kiutekelezaji yanayokamilisha majukumu ya Idara ya Ujenzi ambayo ni pamoja na kumshauri Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji juu ya mambo yote yanayohusu Uhandisi (Ujenzi na Mitambo)

Matangazo

  • Bajeti ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 June 14, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI - MTENDAJI WA MTAA (NAFASI 2) July 26, 2023
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili wa kuandika (Mtendaji wa Mtaa) September 19, 2023
  • TANGAZO DHIDI YA UTAPELI WA AJIRA July 20, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Mstshiki Meya wa Jiji la DSM afungua mashindano ya Tigopesa Bodaboda Mbungi ya Kishua 2023

    September 26, 2023
  • Naibu Katibu Mkuu Mativila asisitiza ujenzi wa miundombinu bora Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

    September 22, 2023
  • Mstahiki Meya Halmashauri ya Jiji la DSM Afungua Ofisi ya Mtaa wa Mwanagati

    September 21, 2023
  • Kamati ya Lishe Halmashauri ya Jiji la DSM yafanya Kikao cha kujadili taarifa za utekelezaji wa kazi za Lishe kwa Kipindi cha Robo ya Nne

    September 19, 2023
  • Angalia zote

Video

NAPA
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 2128800

    Namba ya Mkononi:

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.