JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

JIJI LA DAR ES SALAAM

Tangazo la mkutano wa Baraza tarehe 10 Machi, 2017

Tarehe: 10 March, 2017

Mahali: Karimjee Hall

Muda: 10:00 - 15:30

Maelezo Ya Tukio:

Wananchi wote wa Jiji la Dar es Salaam mnaarifiwa kuwa kutakuwa na mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam siku ya ya

Soma Zaidi →

Kuwasilisha Taarifa kwa ajili ya malipo kwa mfumo wa TISS

Tarehe: 31 March, 2016

Mahali: City Hall

Muda: 08:00 - 15:00

Maelezo Ya Tukio:

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anapenda kuwajulisha wadau wote kwamba kuanzia mwezi Aprili, 2016

Soma Zaidi →

Ulipaji wa Huduma za Jiji

Tarehe: 18 March, 2016

Mahali: City Hall

Muda: 08:00 - 15:30

Maelezo Ya Tukio:

Kwa mujibu wa sheria ya fedha ya Serikali za Mitaa ya mwaka 1982 na kwa mujibu wa sheria ndogo za “Ushuru wa Huduma” za Jiji, 1997 mabenki yanapaswa kulipa (0.2%) ya mauzo ghafi “Gross Turnover” baada ya kutoa kodi ya ongezeko la thamani na kodi ya mlaji.

Soma Zaidi →

Malipo ya viwanja

Tarehe: 02 November, 2015

Mahali: City Hall

Muda: 09:00 a.m - 03:00 p.m

Maelezo Ya Tukio:

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inawatangazia wanachi wote waliojaza maombi

Soma Zaidi →

Majina ya waliopendekezwa kuuziwa viwanja

Tarehe: 08 October, 2015

Mahali: City Hall

Muda: 09:00 - 15:00

Maelezo Ya Tukio:

Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam inawatangazia wananchi waliojaza fomu za maombi ya kufikiriwa kupewa viwanja katika

Soma Zaidi →