• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

DC Mpogolo aipongeza Halmashauri ya Jiji la DSM kwa kuendelea kuboresha Huduma za Afya

Tarehe iliyowekwa: November 7th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa kuendelea kuimarisha huduma za afya ikiwemo njia za upatikanaji wa dawa, vifaa tiba  pamoja magari ya kubeba wagonjwa   ili kuhakikisha   huduma bora kwa wananchi zinatolewa kwenye vituo vya afya.

Hayo ameyasema leo Novemba 7, 2023 Katika viwanja vya ukumbi wa Arnatouglou Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam wakati akikabidhi Magari saba ya kubebea wagonjwa (Ambulance) kwa Mganga Mkuu wa Jiji ambayo yamekarabatiwa  kwa kutumia fedha za mapato ya ndani ya Idara ya Afya shilingi milioni 24 baada ya kukaa muda mrefu bila matengenezo.

“Magari haya ambayo yatakua msaada mkubwa wa kuimarisha huduma za afya yanatakiwa yatunzwe kwani Mheshimiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anataka tusimamie miradi vizuri na kwa kuacha alama kwa wananchi hivyo niwapongeze kwa kutumia vyema fedha za mapato ya ndani kwa kukarabati magari ya kubebea wagonjwa na kuhakikisha huduma za afya zinaboreshwa katika Halmashauri yetu. Hii ni alama kubwa sana aliyoionesha Mkurugenzi wa Jiji kwa kushirikiana na wataalamu wake kuhakikisha huduma za afya zinaboreshwa na wananchi wanapata huduma bora kwa wakati." Ameeleza DC Mpogolo.

Awali Akizungumza katika hafla hiyo Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Ndg. Jomaary Satura ameeleza kuwa ataendelea kusimamia vizuri mapato ya Halmashauri ili kupitia mapato hayo miradi mbalimbali iweze kuboreshwa huku akimpongeza Mganga Mkuu wa Jiji kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuhakikisha sekta ya afya katika Jiji la Dar es Salaam inaimarika zaidi.

Akipokea magari hayo Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Dkt. Zaituni Hamza ameeleza kuwa “Katika kuelekea 2024 sisi kama Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam tutahakikisha tunaendelea kuboresha huduma za afya kwa wananchi ambapo tumeweza kutenga shilingi milioni 100 kwenye Makusanyo ya shilingi milioni 500 ya Idara ili kukarabati magari ya wagonjwa yaliyokuwa hayafanyi kazi kwa kipindi kirefu ambapo takribani magari 7 ya kubebea wagonjwa tunayokabithiwa leo yamekarabatiwa kwa shilingi milioni 24 fedha kutoka mapato ya ndani ya Idara ya Afya hivyo niwahakikishieni kwa kushirikiana na wataalamu wenzangu tutaendelea kuboresha huduma za afya katika Jiji letu hata hivyo tumejipanga kujenga chuo kuku cha Kati katika Halmashauri yetu lengo ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora kwa wakati”.

Sambamba na hilo Dkt. Zaituni amehakikisha kusimamia magari hayo ili yaweze kudumu kwa muda mrefu huku akieleza kuwa kutokana na mapato ya ndani ya Halmashauri, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeanza utekelezaji wa jengo la upasuaji pamoja na wodi za Wanaume na Wanawake katika Hospitali ya Mnazi Mmoja hii ikiwa ni kuendelea kuboresha huduma za afya kwa wananchi wa Jiji la Dar es Salaam.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.