• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

DC Ludigija amuagiza Kaimu Mkurugenzi Jiji la Dar es Salaam kusitisha mkataba wa kandarasi ujenzi wa jengo la Hosptali Kivule

Tarehe iliyowekwa: October 4th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh. Ng'wibuzu Ludigija leo tarehe 4 Oktoba 2022 amefanya ziara ya kukakuga miradi ya kimkakati ya ujenzi wa kituo cha afya Kipunguni B,  jengo la huduma za dharura Zahanati ya Magereza Ukonga na Hosptali ya Wilaya ya Ilala iliyopo Kivule, katika ziara hiyo ilijumuisha Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Ilala, Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala sambamba na Wakuu wa Idara kutoka Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.

Katika ziara hiyo  ya kamati ya ulinzi na usalama ya Jji la Dar es salaam imetembelea na kukagua maendeleo  ujenzi kituo cha afya cha kipunguni B ambacho kinajengwa wa fedha za tozo kutoka Serikali Kuu, ujenzi wa jengo la dharura katika hospitali kuu ya Magereza Ukonga pamoja na jengo la huduma za bima na binafsi kwenye hospitali ya Wilaya - Kivule

Akikagua maendeleo ya ujenzi katika maeneo hayo Mkuu wa wilaya ya Ilala amemuagiza kaimu Mkurugenzi wa jiji la Dar ea salaam Mhe. Eng. Amani Mafuru,Kusitisha na kuvunja mikataba wa  mkandarasi SUMAJKT na mshauri elekezi TBA anayejenga jengo la huduma za bima na binafsi katika hoapital ya wilaya kivule.amesema "Nasikitika taasisi za serikali SUMA JKT sambamba na TBA kushindwa kusimamia na kufanya kazi hii kwa ufanisi na kuendana na wakati,sababu zinazotolewa hapa hazifurahishi kutokana na hali hii maelekezo yangu kwako Mkurugenzi ili kunusuru mradi huu ni kuvunja mkataba".

Mradi wa ujenzi wa jengo hilo lililopo katika hosptali ya kivule ni muhimu sana kwani pindi mradi huu ukikamilika kwa wakati utasaidia na kutoa huduma kwa wananchi kutoka kata zote katika Halmashauri ya jiji la Dar es salaam akiongeza Mkuu wa Wilaya katika hilo amesema malengo ya Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wananchi wapate Huduma.

Hata hivyo maendeleo ya miradi hiyo ipo katika hatua mbalimbaki isipokuwa kwenye baadhi ya maeneo Ludigija amewataka wakandarasi kuongeza kasi ili miradi ikamilike kwa wakati kwani ukamilifu wa Miradi hiyo itakuwa chachu ya huduma bora kwa wananchi. "ujenzi wowote katika miradi hii tunahitaji kuona thamani ya fedha inayotolewa na serikali iendane na jengo husika kuchelewa kwa kukamilika mradi kunasababisha hasara na matumizi mabaya ya fedha" amesema Mheshimiwa Ludigija

Akihitimisha ziara hiyo  Mheahimiwa Ludigija ametoa wito kwa watekelezaji wa miradi pamoja na wasimazi kutoka Halmashauri kuhakikisha wanasimamia miradi hiyo kwa ukaribu zaidi kwani hii itasaidia miradi hiyo kukamilika kwa wakati na kwa weledi zaidi.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.