• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

MKUU WA WILAYA YA UBUNGO AMWAGA SIFA KWA HALMASHAURI YA JIJI DSM MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI.

Tarehe iliyowekwa: October 16th, 2022

Na,amanzi kimonjo.

Kwa niaba ya  Mkuu wa Dar es Salaam,Mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James leo tarehe 16 Octoba 2022 ametembelea maonesho ya maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi mmoja Jijini Dar es Salaam,maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa yameudhuliwa na Halmashauri zote tano zilizopo Mkoa wa Dar es Salaam ikiwa ni Halmashauri ya Ubungo,Temeke,Kinondoni,Kigamboni na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam (Ilala) huku Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imekuwa mwenyeji wa maonesho hayo.

Akimuakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe.James ametembelea mabanda yote ya Halmashauri zote Tano "Nawapongeza Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam kwa maandalizi makubwa katika mabanda yao kwa vitu vilivyojaa ujuzi na teknolojia  katika maadhimisho haya ya chakula Duniani,endeleeni kufanya hivyo kwa maslahi mapana ya wananchi"  amesema Mhe.James.

kila mwaka ifikapo tarehe 16 Octoba  ni maadhmisho ya siku ya chakula Duniani Kauli mbiu katika maadhimisho ya mwaka huu inasema " Uzalishaji bora,Lishe bora,Mazingira bora na Maisha Bora kwa wote Habaki Mtu nyuma" ikiwa ni sehemu moja wapo ya kuhamasisha na kuhimiza Ulaji bora wa vyakula kwa afya njema kwa wote inawezekana, maadhimisho haya ni ya 77 tangu kuanza kusherekea  kuadhimishwa kwake.

Shughuli za uzalishaji wa chakula kwa njia za kisasa za kilimo bora sambamba na hilo Mkoa wa Dar es s Salaam ikiongozwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inajikita zaidi na kilimo cha aina mbalimbali ikiwa pamoja na kilimo cha mboga,uyoga,Mahindi,matunda,papai,pilipili hoho na mazao mengi ikiwa nyenzo muhimu zitumikazo za kisasa kama vile kilimo cha mjini,kilimo cha umwagiliaji kwa kutumia matone kwa chupa na kutumia mipira.

"elimu tuliyoipata leo ikatunufaishe,ikaelimishe juu ya matumizi ya chakula ili kudumisha lishe bora na  umuhimu kila mtu kila mtu atumie maonesho haya kuweza kunufaika pia kauli mbiu ya mwaka huu inatutaka kama taifa kuweka mkakati mahususi wa kula chakula bora kutoka katika makundi yote sita ya vyakula kikamirifu"

Sambamaba na hilo kudumisha chakula Duniani teknolojia mbalimbali utumika katika kuandaa chakula inayotumia umeme wa jua,mashine za kukuna nazi,mashine za kutengeneza juisi,mashine za kuchepa mahindi na viungo kama tangawizi,uji wa lishe na zinginezo Halmashauri ya Dar es salaam ina maeneo makubwa kwa shughuli za kilimo kama Mbondole na Kinyamwezi.

Aidha Mhe.James amesisitiza matumizi sahihi ya vyakula kwa kudumisha lishe kwa afya bora kwa mwanadamu pia ameishukuru serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kudumisha lishe kwa watanzania "Nashukuru serikali ya awamu ya sita iliyochini ya Rais wetu Samia Suluhu Hassan kwa kuweka mipango madhubuti juu ya lishe bora kwa watanzania na kuongeza bajeti katika uzalishaji,utoaji wa ruzuku ili kuimarisha sekta ya kilimo ili kukuza uzalishaji wa chakula".

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.