• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

RC Makalla aamuru kukamatwa kwa wananchi waliouza ardhi kitapeli Mtaa wa Mbondole Kata ya Msongola.

Tarehe iliyowekwa: May 9th, 2022


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Amos  Makalla awaomba Wananchi wa Mtaa wa Mbondole  Kata ya Msongola kuwa watulivu wakati Serikali yao sikivu ikitafuta muafaka na Mmiliki wa eneo lenye mgogoro katika Kata hiyo,hayo ameyabainisha leo May 9,2022 katika ziara yake ya kutatua mgogoro wa ardhi ambapo Wavamizi zaidi ya 700 walio uziwa ardhi ya Ndug. Martin Nasson kimakosa  mpaka Sasa hawajui hatma yao Baada ya Mahakama kuamuru nyumba zaidi ya 200 za Wavamizi zivunjwe.

Aidha Katika mkutano wa Leo Mhe.Makalla kwa kushirikiana na Wataalamu wamepitia nakala zaidi ya 108  za mauziano ya zaidi ya Shilingi Milioni 179 ambapo kiasi chote hicho Cha fedha kimeliwa na wajanja wakiwemo Wajumbe wa mashina mbalimbali ya mtaa wa Mbondole hivyo Mhe.Makalla kuamuru  kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Mbondole na Wajumbe kwa tuhuma za kushiriki utapeli wa kuuza eneo la Mwananchi kwa Wavamizi zaidi ya 700 ambao mpaka Sasa hawajui hatma yao Baada ya Mahakama kuamuru nyumba zaidi ya 200 za Wavamizi zivunjwe.

Vilevile Mhe. Makalla ameelekeza wataalamu wa TAKUKURU kufanya mapitio ya Nyaraka zote za mauzioano ili ipatikane taarifa kamili na wote waliohusika wawajibishwe kwa mujibu wa sheria ambapo amekemea Vitendo vya uvamizi wa maeneo na uuzaji Ardhi kiholela.

Pamoja na hayo Mhe. Makalla amesema Baada ya kupatikana kwa taarifa kamili Serikali itakaa meza moja na Mmiliki, Wawakilishi wa Wavamizi na Kamati ili kupata  muafaka wa pamoja wa kumaliza Mgogoro huo uliodumu kwa zaidi ya miaka 10 hivyo amewaomba wananchi wa mtaa wa Mbondole kusitishwa kwa Shughuli yoyote ya mauziano ya Ardhi na uendelezwaji wowote wa Ardhi mpaka pale Serikali itakapotoa maelekezo mengine.


Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.