• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Uzinduzi wa Mradi na Ukarabati wa Miundombinu ya Maji Safi na Salama katika Gereza la Maabusu Segerea

Tarehe iliyowekwa: August 25th, 2021

Na; Judith Msuya

Mfuko wa maendeleo ya jamii(TASAF) kupitia Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam  leo August 25, 2021 wamezindua mradi wa ukarabati wa miundombinu ya maji safi na salama pamoja na uwekaji wa tank  la liter Laki 1 katika ukumbi wa  Gereza la Maabusu Segerea lengo likiwa ni kusaidia upatikanaji wa maji safi na salama katika Gereza hilo.

Akizungumza katika Hafla hiyo  Mratibu wa TASAF - Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam Bi. Marcella Msawangwa amesema kuwa mfuko wa maendeleo ya jamii(TASAF)  kwa awamu ya Tatu ambao ulizinduliwa kwa lengo la kunusuru kaya maskini katika sekta ya Afya, Elimu pamoja na kusaidia jamii kutekeleza miundombinu ya Maji na barabara ameona kuwa hanabudi I us a id is upatikaji wa maji safi na salama kwa Gereza la Maabusu Segerea ili kuweza kutatua changamoto ya maji katika Gereza hilo.

Aidha Bi. Maricella ameeleza kuwa mradi huo ambao  unatarajiwa kukamilika Desemba, 2021 utagharimu takribani shillingi million 197  ambapo mradi huo   utaanza kutekelezwa mara baada ya mafunzo ya siku tatu (3) ambayo yalizinduliwa katika hafla na kuanza rasmi Agust 25 hadi Agust 27, 2021 hivyo baada ya mafunzo hayo  kukamilika mradi utaanza kutekelezwa kwani utaratibu wa manunuzi pamoja na kupata local fundi ushaanza kufanyika.

"Ni matumaini yangu kuwa kwakua tushatangaza tender za kupata local fundi mara baada ya mafunzo tutaanza utekelezaji wa mradi ambao unatarajiwa kukamilika Desember 2021 kwani fedha ya kutosha ipo hivyo hakutakua na changamoto ya kifedha itayokwamisha mradi  huu".alieleza Bi.Marcella.

Vilevile, Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Gereza la Maabusu Sagerea Mrakibu wa Maabusu Athanas Ndowano ameeleza kuwa tatizo la maji katika Gereza hilo ni kubwa ukilinganisha na mahitaji ya watu waliopo maabusu hivyo ujio wa mradi huu ni ukumbozi mkubwa kwa Gereza la Maabusu Segerea pamoja na wananchi wa mtaa wa Mgombani na Kata za jirani ambao wataweza kufaidika na mradi huu.

"Tatizo la maji lilikua kubwa hivyo tunatoa shukrani zetu kwa Mradi wa maendeleo ya Jamii (TASAF) pamoja na Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuona tatizo la Magereza kama sehemu yao hivyo tunaahidi kufanya kazi kwa uweledi mkubwa kama ilivyokusudiwa".alisema Mkaribu Athanas.

Sambamba na hilo akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es Salaam Comisioner msaidizi wa Magereza Focus  Ndabita ameahidi kuwa  watasimamia kamati ya ujenzi wa mradi huo na watahakikisha wanafuatilia kwa ukaribu na weledi mkubwa ili ujenzi huo uweze kukamilika kwa wakati.

 Akifungua mafunzo pamoja na kuzindua mradi huo wa ukarabati wa miundombinu ya maji safi na salama pamoja na ujenzi wa tank la lita Laki 1 kwa niaba ya Mkurugunzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Bw. Rajabu Ngoda amesisitiza  ushirikishwaji wa wananchi katika utekelezaji wa mradi huo pamoja na utunzaji wa nyaraka ili hata ifikapo kipindi cha Mwenge wa Uhuru 2022 mradi uweze kuwekewa jiwe la Msingi bila dosari yoyote.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.