• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Vikundi 945 kupatiwa mikopo ya asilimia kumi ya Halmshauri ya Jiji la DSM

Tarehe iliyowekwa: June 20th, 2025

Na: Doina Mwambagi

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetenga zaidi ya shilingi bilioni 18 kwa ajili ya kutoa mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi 945 vya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu katika mwaka huu wa fedha 2024/2025.

Akizungumza katika hafla ya utoaji wa mikopo isiyo na riba iliyofanyika leo tarehe 20 Juni 2025 katika viwanja vya Karimjee, Mkurugenzi wa Jiji hilo Ndugu Elihuruma Mabelya amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuwa sauti na nguzo kubwa ya kuwawezesha wananchi kiuchumi kupitia mikopo isiyokuwa na riba inayotolewa na Halmashauri kwa mujibu wa sheria.

“Kazi kubwa tuliyonayo sasa ni kurahisisha utoaji wa mikopo hii na kuhakikisha hakuna changamoto kwa waombaji. Tumejipanga kutoa elimu kwa wananchi kuhusu namna bora ya kuunda vikundi, kuomba mikopo, na kuhakikisha wanarejesha kwa ufanisi. Hatua hizi ni sehemu ya kuhakikisha tunatimiza dhamira ya Mheshimiwa Rais ya kuwawezesha wananchi kiuchumi kupitia mikopo ya asilimia 10 inayotokana na mapato ya ndani ya Halmashauri,” amesisitiza Mabelya

Aidha, Mkurugenzi Mabelya amewatoa hofu wananchi kuhusu upatikanaji wa mikopo hiyo, akisisitiza kuwa fedha zipo na zitawafikia wanufaika wote waliokidhi vigezo, ili mikopo hiyo iweze kuchangia katika kuongeza kipato cha familia na kuchochea ukuaji wa uchumi wa Taifa.

Mikopo hiyo itatolewa kupitia mfumo wa kibenki, ambapo Benki ya CRDB na Benki ya NMB zimepewa jukumu la kusimamia utoaji wa fedha kwa vikundi vilivyoidhinishwa. Mfumo huu unalenga kuhakikisha uwazi, usalama wa fedha, na ufuatiliaji mzuri wa urejeshaji wa mikopo.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "Tutashirikiana na CRDB kuhakikisha mradi unakamilika kwa wakati" - DC Mpogolo

    June 22, 2025
  • Naibu Spika atembelea eneo la ujenzi wa shule ya mfano ya CRDB

    June 22, 2025
  • Kata kwa Kata, Mtaa kwa Mtaa kutoa elimu ya mikopo ya asilimia 10 - DC Mpogolo

    June 20, 2025
  • "Mikopo ya asilimia 10 ni silaha ya kuinua uchumi wa wananchi" - DC Mpogolo

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.