• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Jiji
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha, Utawala na Utumishi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Udhibiti Taka
      • Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji
      • Afya na Huduma za Tiba
    • Vitengo
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Sheria na Usalama
      • Itifaki, Uhusiano na Umma
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Shughuli za Utalii
      • Dar es Salaam Yetu
      • Misitu na Mashamba ya wanyama wafugwao
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
      • Maeneo ya kupumzika, bustani na viwanja vya michezo
      • Maeneo ya Manunuzi
      • Majengo na maeneo ya kihistoria
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
    • Urejelezaji wa Taka Ngumu
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Pikipiki
    • Vibali vya Maegesho ya Teksi
    • Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo
    • Vituo Vikuu vya Mabasi
    • Udhibiti Taka Ngumu
    • Taarifa za Historia ya Viwanja
    • Mazishi ya miili ya marehemu wasiokuwa na ndugu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Miundombinu
      • Kamati ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
    • Mameya Wazamani wa Jiji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi Inayoendelea
    • Vitega Uchumi vya Jiji
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Sera
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Fomu za Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari Mpya
    • Matukio

Wakazi wa Jiji la DSM wahimizwa kutumia Nishati Mbadala ya Kupikia

Tarehe iliyowekwa: June 4th, 2024

Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wahimizwa kutumia nishati mbadala ya kupikia lengo likiwa ni kuunga Mkono Juhudi za Mhe. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ya utunzaji wa mazingira, Wito huo umetolewa na Afisa Tawala wa Wilaya ya Ilala Bi. Flora Mgonja kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala wakati aliposhiriki katika maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani kwa Wilaya ya Ilala yaliyofanyika leo Juni 4, 2024 katika Viwanja vya MnaziMmoja Jijini humo yenye lengo la kuhamasisha jamii juu ya matumizi ya Nishati mbadala ikiwa ni muendelezo wa matukio  yanayofanywa na Jiji la Dar es Salaam katika kuelekea siku ya Mazingira Duniani ambayo huadhimishwa Juni 5 ya kila Mwaka ikiambatana na kauli mbiu isemayo ‘Urejeshwaji wa Ardhi, ustahimilivu wa hali ya Jangwa na ukame’.

Akizungumza na Wadau pamoja na wananchi wote walioshiriki katika maadhimisho hayo Bi. Mgonja Amesema “Ninyi nyote mnafahamu ajenda ya Mhe. Rais ya kuhamasisha umuhimu wa nishati mbadala ili kuendana na changamoto ya mabadiliko ya tabia ya nchipamoja na changamoto za mazingira kwa ujumla. Hii ni ajenda ambayo Mhe. Rais ameibeba kwa dhati kabisa kuhakikisha tunaanza mchakato wa kuelimisha Watanzania ili kuondokana na nishati ambazo sio rafiki kwa mazingira, na kutumia zilizo rafiki kwa mazingira ili kutunza mazingira yetu na afya kwa ujumla.”

Sambamba na hilo, Bi. Mgonja ameendelea kusema Kaulimbiu ya Madhimisho ya siku ya Mazingira duniani inaakisi suala zima la utunzaji wa mazingira kwa kutumia nishati mbadala huku akiwataka wananchi hao kutekeleza kauli mbiu hiyo kwa vitendo wakianzia katika ngazi za familia bila kusahau kutumia nishati mbadala ili kulinda afya na ustawi wa mazingira kwa ujumla.

Kwa upande wake Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti Taka Ngumu na Usafishaji Bw. Rajabu Ngoda ameeleza kuwa ameeleza kuwa matukio haya yanayofanywa na Jiji la Dar es Salaam kuelekea maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani yamekua chachu ya kuleta mafanikio zaidi kwa Jiji la Dar es Salaam kuwa Safi kwani wananchi wameonekana kujitokeza kwa wingi katika matukio yaliyoanza kufanyika tarehe 30 ikiwemo zoezi la usafi, bonanza la michezo pamoja na midahalo juu ya utunzaji wa mazingira huku akiwataka wadau kushirikiana na Jiji la Dar es Salaam kutunza mazingira na kushikamana kufanya usafi kwa afya za wananchi wake.

Aidha,  katika Hafla hiyo vyeti vya shukrani vilikabidhiwa kwa wadau mbalimbali ikiwa ni kutambua Mchango wao katika utunzaji wa mazingira kwa Jiji la Dar es Salaam.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
Video Zingine

Viunganishi vya Haraka

  • Mameya wa zamani wa Jiji
  • Vibali vya kuingia na Pikipiki katikati ya Jiji
  • Udhibiti wa Taka ngumu Jijini
  • Eneo Maalum la Usafi Jijini
  • Kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
  • Uwanda wa Bahari, Fukwe na Visiwa
  • Sehemu za Kitamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
  • Majengo na Maeneo ya Kihistoria
  • Maeneo ya Kupumzika, Bustani na Viwanja vya Michezo

Viunganishi Linganifu

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • TAMISEMI
  • IDARA YA HABARI MAELEZO

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Anuani ya Posta: S.L.P 20950

    Simu ya mezani: 0738 378 386

    Namba ya Mkononi: 0738 378 386

    Barua Pepe: info@dcc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.