Baadhi ya wakuu wa Idara, Vitengo na Divisheni kutoka Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam wakiambatana na Watumishi kutoka Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Ilala leo Agosti mosi, 2025 wametembelea banda la Halmashauri hiyo katika Maonesho ya Wakulima (Nanenane) yaliyoanza leo hii mkoani Morogoro.
Wakuu hao wametembelea maonesho hayo kwa lengo la kuona shughuli mbalimbali zinazofanywa na wanufaika wa mikopo inayotolewa kutokana na mapato ya ndani.
Maonesho haya yameanza leo na yanatarajiwa kutamatika Agosti 8 mwaka huu.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 20950
Simu ya mezani: 0738 378 386
Namba ya Mkononi: 0738 378 386
Barua Pepe: info@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.