Mradi wa Maboresho ya Mtaa wa Samora jijini Dar es Salaam unafadhiliwa na Serikali ya Japan kupitia JICA ambao unagharimu jumla ya Dola za Kimarekani 400,000 na ulianza kutekelezwa mnamo mwezi Januari, 2017 na kukamilika mwezi Agosti, 2017. Mradi huu ni miongoni mwa miradi ya mifano ambayo imeandaliwa kwa pamoja na wataalam wa JICA na wa Taasisi mbalimbali za Serikali ya Tanzania zinazojihusisha na usafiri/usafirshaji katika Jiji la Dar es Salaam.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 20950
Simu ya mezani: 0738 378 386
Namba ya Mkononi: 0738 378 386
Barua Pepe: info@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.