Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imefanikiwa kujenga ukumbi wa kisasa wa sherehe na mikutano mbalimbali, ukumbi wa nje wa maonyesho ya kiutamaduni, maduka 19 na Bustani yenye eneo la kupumzikia na watoto kucheza.
Eneo hili pia litatoa ajira ya wastani wa watu 200 mara litakapokamilika.
Mradi unatarajia kuiingizia mapato Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ya wastani wa Tsh.180 milioni kwa mwaka.
Mradi utakapokamilika utakuwa na manufaa makubwa kwa wananchi wa Dar es Salaam, Halmashauri ya Jiji na wadau wake. Baadhi ya manufaa ni kama ifuatavyo:-
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Anuani ya Posta: S.L.P 20950
Simu ya mezani: 0738 378 386
Namba ya Mkononi: 0738 378 386
Barua Pepe: info@dcc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Haki Zote Zimehifadhiwa.