Friday 22nd, November 2024
@Viwanja vya Uhuru jijini Dar es Salaam
Sikukuu ya wafanyakazi duniani ni kumbukumbu ya mauaji ya halaiki ya mwaka 1886 yaliyotokea katika viwanja vya Haymarket, Chicago, nchini Marekani. Polisi walikuwa wakitawanya mkusanyiko wa wafanyakazi wakati wa mgomo wa kupinga masaa nane ya kazi ambapo mtu asiyejulikana aliwarushia askari bomu. Polisi waliwalirushia risasi wafanyakazi na kuwaua wanne.
Siku ya hii kwa Tanzania hujulikana kama Siku ya Wafanyakazi Duniani yaani Mei Mosi, inasherehekewa kila mwaka tarehe 1 Mei. Sherehe hufanywa kitaifa na huwakutanisha wafanyakazi kutoka sekta mbalimbali binafsi na umma.
Maadhimisho ya sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani mwaka 2018 yamebebwa na kauli mbiu isemayo:
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Postal Address: S.L.P 20950
Telephone: 0738 378 386
Mobile: 0738 378 386
Email: info@dcc.go.tz
Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.