• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Elimu itolewe katika Jamii kutokomeza ukatili wa kijinsia na kuthibiti maambukizi ya UKIMWI

Posted on: November 18th, 2024

Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania kwa kushirikiana na na Shirika la Umoja wa Mataifa la UN Women Leo tarehe 18 Novemba, 2024 limekutana na wadau mbalimbali katika ukumbi wa mdogo wa mikutano Arnatoglou katika hatua ya kufanya tathmini ya kati ya Ripoti ya Maswala ya Jinsia ya Mwaka 2020, ikiwa na lengo la kuangalia uhuishaji wa afua za maswala ya jinsia kwenye mkakati wa V wa afua za VVU na UKIMWI (V)

Akitoa maoni katika tathimini hiyo Mratibu wa uzazi wa mama na mtoto wa Halmshauri ya Jiji la Dar es Salaam Bi. Moshi Athumani amesema kumekuwa na changamoto kubwa ya ukatili wa kijinsia na amehusia jamii hasa akina baba majumbani ndio wamekuwa chanzo kikubwa kwa ukatili kwa wanawake na watoto kwani wamekuwa wakiwapiga na kuwanyanyasa Kimwili, kimawazo na kifikra pindi wanapokuwa wameshindwa kufanya jambo lolote, pia mwanamke anapokwenda kliniki na kugundulika kuwa na maambukizi ya Ukimwi wanaume huwa wanawanyanyapaa na wengine kufukuzwa nyumbani

Sambamba na hilo, Bi Moshi ametoa mapendekezo yake na kutoa wito kwa wananchi wote wa jinsia zote za kike na kiume kushiriki katika Elimu ya jinsia na virusi vya ukimwi zinazotolewa na Wataalamu kutoka Serikali, taasisi na Asasi za kidini ili tuweze kutokomeza ukatili wa kijinsia hasa kwa wanawake na watoto unaopelekea kuongeza hatari ya kundi hili kuwa kwenye hatari ya kapata maambikizi ya VVU. 

Naye Mratibu wa VVU /UKIMWI Sekta ya Afya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam (DACC)  Dkt. Aisha Zuheri ameeleza kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam katika harakati za kuhuisha maswala ya jinsia na UKIMWI, imeanzisha kliniki za vijana rika zinazotoa huduma rafiki ya afya ya uzazi kwa vijana wa makundi yote (Wanaoishi na VVU na Wasio na Maambikizi) lengo likiwa ni kutoa Elimu ya ugonjwa wa Ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa , pia kutoa ushauri kwa vijana ili kupunguza hatari ya maambukizi ya VVU, na kusema kuwa Hadi sasa kuna vituo vitano ambavyo vinatoa huduma hiyo. 

Kwa Upande wake Mshauri kutoka UN Women Dkt. Patrick Kanyamwenge ameeleza kuwa Tathimini hii lengo lake ni kupata mtazamo, maoni na mapendekezo ya kuboresha utekelezaji wa afua za maswala ya jinsia na kuyauhisha kwenye mkakati wa V wa VVU na UKIMWI ili kuleta ufanisi na kupunguza vitenda vya Kikatili kwenye jamii hasa kwa Akina Mama, mabinti na watoto.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.