Ikiwa ni siku ya nne ya Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Uvuvi (Nanenane) Elimu kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 imeendelea kutolewa ndani ya banda la Jiji la Dar es salaam na Bi. Oliver Abraham Mwashiuya, Afisa kutoka ofisi ya Uchaguzi ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.
Karibu utembelee Banda la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam katika Maonesho ya Nanenane, Kanda ya Mashariki kuanzia Agosti 01 hadi 08, 2025 Katika Viwanja vya Mwl. Nyerere, Mkoani Morogoro.
Kauli Mbiu: “CHAGUA VIONGOZI BORA KWA MAENDELEO ENDELEVU YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI 2025”
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Postal Address: S.L.P 20950
Telephone: 0738 378 386
Mobile: 0738 378 386
Email: info@dcc.go.tz
Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.