• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Jiji la DSM kwa kushirikiana na C40 Cities kuweka Mikakati madhubuti ya Kuthibiti Taka Oza (Organic Waste)

Posted on: September 26th, 2024

Katika kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi yanayoambatana na athari za Kimazingira Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kupitia Kitengo cha  Maliasili na Uhifadhi wa Maziringira kwa kushirikiana na Umoja wa Majiji Duniani (C40 Cities) pamoja na wadau wa Mazingira kutoka Taasisi zisizo za Kiserikali wamefanya Warsha ya siku mbili yenye lengo la kukabiliana na  kuthibiti taka oza( Organic Waste) kwa Jiji la Dar es Salaam.

Warsha hiyo iliyoanza Septemba 25, na kuhitimishwa Septemba 26, imefanyika katika Hotel  ya Holiday Inn Jijini Dar es Salaam ikiwahusisha wataalamu wa mazingira kutoka Halmashauri zote za Mkoa wa Dar es Salaam, wadau wa mazingira kutoka UK, AID na British High Commission pamoja na Taasisi zisizo za Kiserikali.

Akiongea wakati wa warsha hiyo Mkuu wa Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Bi. Theresia Denis ameeleza kuwa kutokana na changamoto ya taka oza (Organic Waste) kushika hatamu hususani maeneo ya masoko, Jiji la Dar es Salaam kwa kushirikiana na C40 Cities pamoja na wadau wa mazingira wameweza kuanzisha mradi jumuishi wa mabadiliko ya tabia ya nchi uliotekelezwa katika Mtaa wa Butiama Kata ya Vingunguti, Bonyokwa pamoja na Shule ya Sekondari Zanaki ambapo taka hubadilishwa kuwa chakula cha kuku na mbolea pamoja na kusaidia kupunguza athari za kimazingira zinazotokana hizo.

Kwa upande wake Mshauri wa Jiji-mabadiliko ya tabia nchi Bw. Jophillene Bejumula ameeleza kuwa lengo la warsha hii ni kuendelea kuweka mipango madhubuti na ya muda mrefu  ya kuhakikisha hadi kufikia 2050 Jiji la Dar es Salaam lisizalishe hewa ya ukaa (Carbon) inayotokana na uzalishaji wa taka oza huku akitoa wito kwa wadau wengine wa mazingira kuendelea kutoa ushirikiano katika kutunza maingira kwa kuendelea kutenganisha taka ili kuepukana na magonjwa ya Mlipuko.

Naye Afisa Masoko Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Bw. Alex Bubelwa amesema kuwa kutokana na warsha hiyo ni imani yake mradi wa kutenganisha taka oza utakua na manufaa makubwa katika kupunguza taka masokoni kwani taka za aina hizo huzlishwa  masokoni na kipindi cha mvua taka hizo ni changamoto katika utunzaji wa mazingira hivyo mradi huo utakua chachu ya kuweka mazingira katika hali ya usafi.

Aidha, Akieleza umuhimu wa Mradi wa jumuishi wa mabadiliko ya tabia ya nchi uliotekelezwa katika Mtaa wa Butiama Kata ya Vingunguti Jijini Dar es Salaam, Afisa Afya Mkuu wa Kata hiyo Bw. Geophrey Zenda ameeleza kuwa mradi huo umekua chachu ya uboreshaji wa mazingira pamoja na kupunguza uzalishaji wa hewa ya ukaa sambamba na kupungua kwa magonjwa ya mlipuko kama Kipindupindu.

Akitoa Shukrani zake kwa wadau wa mazingira Mnufaika wa mradi jumuishi wa mabadiliko ya Tabia ya nchi Bw. Michael Humbi ambae ni mwenyekiti wa Kikundi cha wazalendo Butiama ameeleza kuwa mradi huo umeweza kuwapatia ajira kwani kupitia mradi huo wameweza kuzalisha mbolea ya Mboji na wadudu kwaajili yanchakula cha kuku ambavyo ni chachu ya wao kupata kipato pamoja na kuendelea kutunza mazingira.













Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.