Kamati ya Kudhibiti UKIMWI Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, leo tarehe 31 Oktoba, 2024 imefanya ziara ya kutembelea na kukagua huduma mbalimbali zinazotolewa kwa Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI (WAVIU) lengo likiwa ni kujua changamoto wanazokabiliana nazo ili kuchukua hatua na kuzitatua kwa kipindi cha robo ya kwanza ya Mwaka wa Fedha 2024/2025.
1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM
Postal Address: S.L.P 20950
Telephone: 0738 378 386
Mobile: 0738 378 386
Email: info@dcc.go.tz
Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.