• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2021 Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Hospitali Binafsi ya Al-Amal iliyopo Liwiti

Posted on: August 18th, 2021

Na Neema Lukali

Kiongozi wa Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru Mwaka 2021, Luteni Josephine Paul Mwambashi ameweka jiwe ka msingi katika mradi wa ujenzi wa Hospitali binafsi ya Al-Amal iliyopo Kata ya Liwiti Mtaa wa Mfaume wakati wakikimbiza Mwenge wa Uhuru, Wilaya ya Ilala, tarehe 18 Agosti 2021.

Akisoma taarifa kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Dkt. Adam Othman ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa ‘DIRECT AID SOCIETY’ alieleza kuwa mradi huo upo chini ya Asasi ya ‘Direct aid society’ inayojulikana kama ‘AFRICAN MUSLIM AGENCY’  ambayo ilianzishwa mwaka 1981 na Hayati Dkt. Abdul-rahman Asumer, lengo likiwa kutoa huduma katika nyanja mbalimbali kama vile; Elimu, Ustawi wa Jamii, Kuyajengea uwezo makundi maalum pamoja na utoaji wa maji safi, na vilevile Taasisi hiyo imelenga kuchangia maendeleo ya Afrika katika kutoa misaada ya kibinadam kwa Wanawake, Vijana na Makundi maalum.

Aidha, Dkt Adam alielezea jinsi mradi huo umeguswa na kipengele cha nne nukta mbili (4.2) kinachohusika na uwekezaji Wilayani katika suala zima la afya “Mradi huu wa ujenzi wa hospitali ulianzishwa Juni, 2020 na unatarajiwa kumalizika Disemba 2021 mpaka hapa uliopofikia, mradi umegharimu takribani Shilingi Bilioni Kumi na Moja (11) utakapokamilika gharama itafikia Shilingi Bilioni Ishirini na Nane (28) kwa mahesabu ya ujenzi, vifaa tiba na thamani”

Kukamilika kwa ujenzi wa hospitali hii utaleta manufaa zaidi kwa wakazi wa Wilaya ya Ilala na hata walioko maeneo ya jirani. Hospitali  hii itatoa huduma ya wagonjwa wa nje (OPD) na huduma za ndani, Huduma za Baba, Mama na Mtoto (RCH) vilevile kutakuwa na huduma za Maabara na Dawa, Huduma za kujifungua kwa wamama wajawazito pamoja na waangalizi wa watoto wachanga, Huduma za miyonzi kama vile Ultrasound, X-ray, MRI na CT scan. Pia kutakuwa na uwepo wa madaktari bingwa wa upasuaji mdogo na mkubwa pamoja na Madaktari bingwa wa meno.

Naye Bwana Ignas Maembe, Afisa Mtendaji wa Kata ya Liwiti ameupongeza na kushukuru kuwepo kwa mradi huu wa ujenzi wa hospitali  ya Al-Amal uliofadhiliwa na  AFRICAN  MUSLIM AGENCY "mradii huu unamanufaa makubwa sana ya baadaye tunaishukuru Serikali ya Awamu ya Sita ikishirikiana na ufadhili wa ASAS ya AFRICAN MUSLIM AGENCY  kwani utarahisisha watu kupata huduma ya afya asilimia mia moja bila kwenda mbali na pia mradi huu utaleta maendeleo ya kibiashara katika jimbo la Segerea".

 

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.