• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Halmashauri ya Jiji la DSM chaongezewa vifaa kuboresha Utoaji wa Taarifa

Posted on: August 26th, 2024

Katika kuhakikisha Halmashauri ya Jijj la Dar es Salaam inaendelea kuhabarisha Umma kuhusu miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na Jiji hilo leo Agosti 26, 2024 Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Ndg. Elihuruma Mabelya amekabidhi vifaa vyenye thamani ya shilingi Milioni 36.4 kwa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikali lengo likiwa ni kuboresha utoaji wa taarifa kwa  Wananchi kwa kuhakikisha taarifa muhimu za utekelezaji wa Miradi zinawafiki kwa wakati.

Akikabidhi Vifaa hivyo kwa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Ndg. Mabelya ameeleza kuwa “Lengo kubwa la Halmashauri yetu ni kuhakikisha miradi yote inayotekelezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jiji letu inafahamika kwa wananchi hivyo ni matumaini yangu vifaa hivi ninavyovikabidhi leo vitakwenda kuongeza nguvu katika kazi za kuhabarisha Umma pia niwahakikishie ushirikiano katika kuhakikisha tunaitangaza miradi inayotekelezwa katika Jiji letu ili wananchi waweze kuifahamu kwa ukaribu zaidi”.

Sambamba na hilo, Ndg. Mabelya ametoa pongezi kwa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini kwa kazi wanazozifanya huku akisisistiza kuendelea kuhakikisha habari za utekelezaji wa miradi zinawafikia Wananchi kwa wakati ili waweze kuifahamu miradi hiyo.

Awali akiongea wakati wa makabidhiano hayo Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini  Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Bi. Tabu Shaibu ameeleza kuwa “Tunamshukuru Mkurugenzi wetu kwa vifaa alivyotukabidhi leo kwani vifaa hivi vinaenda kuwa chachu ya kukibadilisha kitengo chetu kwa kufanya kazi zenye ubora zaidi hivyo tunaahidi ushirikiano na uboreshaji wa kazi zetu  kwa kuhakikisha taarifa zote muhimu zinawafikia Wananchi kwa wakati pia tunakuhakikishia kufanya kazi kwa viwango unavyovitaka na tukuhakikishie vifaa hivi tutavitunza na kuvithamini”.

Naye Mkuu wa Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu Bw. Selemani Kateti ametoa shukurani zake kwa Mkurugenzi wa Jiji kwa kununua vifaa hivyo ambavyo vitaenda kuwa chachu ya kirahisisha utoaji wa habari kwa Wananchi huku akitoa wito kwa watumishi wa Jiji la Dar es Salaam kuwa wazalendo kwa kuifuatilia mitandao yote ya kijamii  hii ikiwa ni kutambua kazi zinazofanywa na kitengo cha habari lakini pia ni njia nzuri ya wao kuitangaza Radio yetu ya City FM.






Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.