• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Madiwani Jiji la Dar es Salaam wamchagua Naibu Meya wa Jiji

Posted on: August 30th, 2019

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam leo tarehe 30 Agosti, 2019 limefanya Mkutano Mkuu wa Mwaka katika ukumbi wa Karimjee na kumchagua Diwani wa Kata ya Kibonde Maji kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Abdallah Mtinika kwa kura 16 dhidi ya mpinzani wake Mheshimiwa Ally Haroub, Diwani wa Kata ya Makumbusho kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi (CUF) aliyepata kura 10.

Akiongea baada ya ushindi huo, Mheshimiwa Mtinika alitoa shukrani za dhati kwa Chama chake na Waheshimiwa Madiwani wote waliomuamini na kumpigia kura na kuahidi kushirikiana nao katika kuwatumikia wananchi wa Dar es Salaam kwa lengo la kuwaletea maendeleo.

Awali akiongea kabla ya uchaguzi huo Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita aliwaasa Waheshimiwa Madiwani na Watendaji wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuvumiliana na kufanya kazi kwa pamoja ili kuweza kuwaletea maendeleo wananchi wa Dar es Salaam na Taifa kwa ujumla.

Wenyeviti wa Kamati za Kudumu waliochaguliwa kupitia Mkutano Mkuu wa Mwaka ni pamoja na Mheshimiwa Songoro Mnyonge ambaye ataaongoza Kamati ya Mipango na Uratibu na Mstahiki Meya, Isaya Mwita ataongoza Kamati ya Fedha na Uongozi.

Kamati ya Mipangomiji, Miundombinu na Mazingira itaongozwa na Mheshimiwa Patrick Asenga kama Mwenyekiti wa Kamati hiyo.

Wenyeviti waliochaguliwa kuongoza Kamati ya Huduma za Jamii ni Mheshimiwa Leyla Madibi na Kamati ya Maadili itaongozwa na Mheshimiwa Mariam Lulida.

Wananchi na wadau mbalimbali wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam walihudhuria Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Halmashauri ya Jiji walipata fursa ya kupokea taarifa za utekelezaji kwa mwaka wa fedha 2018/2019 pamoja na mawasilisho ya ratiba za vikao vya Kamati za Kudumu za Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa mwaka wa fedha 2019/2020.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.