• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Miradi ya Bilioni 40.9 yamulikwa na Mwenge wa Uhuru 2024 Wilaya ya Ilala, Mkurugenzi Satura awapongeza Watumishi wake

Posted on: May 16th, 2024

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Ndugu Jomaary Mrisho Satura ametoa salamu za pongezi kwa Watumishi wake kufuatia ushiriki wao kwenye Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024, ambapo Mwenge wa Uhuru umepita kwenye miradi (07) na kupokea taarifa ya miradi iliyopitiwa na Mwenge wa Uhuru 2023.  

Akitoa salamu hizo, Mkurugenzi Satura alisema "Ndugu zangu, kwa dhati kabisa ya moyo nawashukuru sana kwa namna ambavyo tumeshiriki kikamilifu kwenye maandalizi na kisha kuukimbiza Mwenge wetu  wa Uhuru 2024 katika miradi yetu yote (7) ndani ya Jiji letu la Dar es salaam na kufanikiwa kuvuka salama"

Kwenye salamu zake Mkurugenzi Satura ameeleza hisia zake kwa Watumishi kua "Najisikia fahari kubwa sana kufanya kazi nanyi, naomba 'spirit' hii na 'team work' hii iendelee na kuwa utamaduni wetu wa ufanyaji kazi kila siku na kila mahala"

Aidha, Mkurugenzi Satura alisisitiza kuwa "Nikiwa nafahamu ya kuwa kazi ilikuwa nzito na ngumu na 'probably' mmechoka sana, niwaombe asubuhi hii kwa pamoja tujitahidi kuendelea kuwa na ari na nguvu ili tuweze kuusindikiza Mwenge wetu na kuukabidhi kwa wenzetu wa Wilaya ya Temeke" 

Mwisho Mkurugenzi Satura alimalizia kwa kusema "Desturi yangu, kama navyopenda kukemea yasiyofaa kufanywa ndivyo nilivyo mwepesi kupongeza mazuri yanayofanywa. Tufanye mazuri ili kudumisha na kuendeleza mahusiano na upendo  wa kweli. Kurugenzi ni Taasisi bila ya ninyi, Mimi siyo lolote wala chochote 'Nawapenda sana nduguJomaary Mrisho Satura ametoa salamu za pongezi kwa Watumishi wake kufuatia ushiriki wao kwenye Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024, ambapo Mwenge wa Uhuru umepita kwenye miradi (07) na kupokea taarifa ya miradi iliyopitiwa na Mwenge wa Uhuru 2023. zangu'

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.