• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Mkutano maalum wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Jiji kujadili bajeti ya mwaka wa fedha 2017/2018

Posted on: February 23rd, 2017

Bajeti ya Halmashauri ya Jiji katika mwaka 2017/2018 imeandaliwa kwa kuzingatia Dira ya Maendeleo 2025, malengo endelevu ya millennia, Mpango wa maendeleo wa miaka mitano (5), Mwongozo wa bajeti wa mwaka 2017/2018 na maelekezo mengine ya Serikali na Halmashauri ya Jiji. Bajeti hii imejikita katika kumalizia miradi inayoendelea na kutekeleza miradi mipya ambayo inaleta tija kwa wananchi wa Dar es Salaam. Aidha bajeti ya Halmashauri imezingatia vipaumbele vifuatavyo:

  • Kuboresha mapato ya Halmashauri kwa kupitia upya sheria ndogo na kuthibiti mianya ya upotevu wa mapato kwa kutumia mfumo wa kielektroniki
  • Ujenzi na ukarabati wa majengo, barabara na vituo vikuu vya mabasi yaendayo mikoani (Mbezi Luis na Boko)
  • Kuboresha eneo la kutupa taka kitaalam – (Sanitary Landfill) kwa kujenga ukuta, kununua mitambo ya kusukuma na kushindilia taka, kujenga barabara za ndani na mfumo wa kamera za Usalama (CCTV)
  • Uwekezaji vitega uchumi kwenye viwanja vya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam (Appartments)
  • Kuimarisha usimamizi na ufuatiliaji wa utoaji wa huduma (supportive supervisión) kwenye Halmashauri na Hospitali za Rufaa za Mikoa (Regional Referal Hospitals).
  • Kuratibu na kufuatilia uboreshaji wa huduma ya uzazi na mtoto hususan kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto wachanga
  • Kuratibu mikakati ya utekelezaji wa shughuli za kudhibiti magonjwa ikiwemo UKIMWI, Kifua kikuu, malaria na magonjwa yasiyoambukiza
  • Kununua maeneo kwa ajili ya uwekezaji na kupima viwanja kwa lengo la kuongeza mapato ya Halmashauri
  • Kusimamia uendelezaji wa makazi na matumizi ya ardhi. Kuimarisha ulinzi na usalama katika Jiji la Dar es Salaam kwa kufanya uhamasishaji kwa viongozi wa kata, mitaa na jamii kwa ujumla
  • Uendelezaji wa Utalii, hifadhi ya mazingira na kuviwezesha vikundi vya akina mama na vijana.
  • Kufanya utafiti unaohusu usindikaji wa taka kwa kuwasilisha kwa njia ya maonesho pamoja na kuelimisha umma namna ya kurejeleza taka na kuwa bidhaa. 

Makisio ya bajeti ya mwaka 2017/2018 ni jumla ya Sh. 20,278,441,110.00 ambapo Sh. 3,133,512,000.00 ni Ruzuku toka Serikali Kuu na Sh. 17,144,929,110.00 ni makusanyo ya ndani. Aidha, kati ya mapato haya kiasi cha Sh. 6,674,688.000 ni mapato ya kugawana na Halmashauri za Manispaa na hivyo jumla ya Sh. 10,470,241,110.00 ni mapato ya ndani yatakayotumika kugharimia matumizi ya kawaida yaani matumizi mengineyo (OC), mishahara ya watumishi (PE) pamoja na miradi ya maendeleo. Jumla ya Sh. 3,377,789,976.00 zitatumika kulipia matumizi mengineyo (OC) na Sh. 530,360,968.00 zitatumika kulipa mishahara ya watumishi, Aidha Sh. 6,562,144,166.00 zitatumika kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo ni sawa na asilimia 62.67 % ya mapato yote ya ndani.   


Na.

Mchanganuo

Jumla

1

Jumla ya Mapato

17,144,929,110.00

2

Mapato ya Kugawa kati ya Manispaa na Wakala.

6,674,688,000.00

3

Mapato ya Ndani

10,470,241,110.00

4

Mishahara ya Ndani

530,360,968.00

3

Matumizi ya Kawaida

3,377,789,976.00


Miradi ya maendeleo vyanzo vya ndani

1

Ufuatiliaji na Tathmini (M & E)

293,107,208.30

2

Ukarabati wa barabara ya kuingia/kutoka dampo kwa kiwango cha lami yenye urefu wa 0.7km

600,000,000.00

3

Kukamilisha ujenzi wa ukuta wa kuzunguka Dampo (920m)

320,000,000.00

4

Ukarabati wa barabara za Dampo la Pugu Kinyamwezi

100,000,000.00

5

Kulipa fidia na kujenga miundombinu ya Dampo la Mkuranga na Kigamboni

1,000,000,000.00

6

Ununuzi wa maeneo na ujenzi wa vyoo vya umma

500,000,000.00

7

Mchango wa ujenzi wa kituo cha Mbezi Luis

1,035,000,000.00

8

Ukarabati wa majengo Halmashauri ya Jiji (DCC)

210,229,411.00

9

Kufunga camera za CCTV katika jengo kuu la Halmashauri ya jiji

50,000,000.00

10

Ujenzi wa vyoo vya umma na kukarabati mfumo wa umeme Karimjee Hall

162,447,546.70

11

Ukarabati wa miundombinu kituo cha mabasi Ubungo

200,000,000.00

12

Kununua eneo kwa ajili ya makaburi

300,000,000.00

13

Kodi ya viwanja vya Halmashauri (Land Rent)

250,000,000.00

14

Mikopo kwa jamii (vijana na wanawake)

977,000,000.00

15

Matengenezo ya mzani Dampo la Pugu Kinyamwezi

10,000,000.00

16

Matengenezo ya Mitambo ya kusukuma na kushindilia taka.

150,000,000.00

17

Gharama za uendeshaji dampo (Diesel na Petrol)

404,360,000.00


Jumla miradi ya maendeleo

6,562,144,166.00

2

Ruzuku ya Serikali Kuu

2.1

Mishahara

2,275,512,000.00

2.2

Matumizi ya Kawaida

-

2.3

Miradi ya Maendeleo ya Ruzuku LDGD

850,000,000.00

2.4

Kuthibiti UKIMWI (NMSF)

8,000,000.00


Jumla ndogo ya Ruzuku

3,133,512,000.00


Jumla kuu

20,278,441,110.00


Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.