• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Mkuu wa Mkoa wa DSM ashiriki zoezi la usafi Hospitali ya Taifa Muhimbili

Posted on: April 26th, 2022

Katika kusherehekea sherehe za Miaka 58 ya Muungano ambazo hufanyika kila mwaka ifikapo Aprili 26 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla ameshiriki zoezi la usafi katika sehemu za kutolea huduma za afya ambapo kwa Mkoa wa Dar es Salaam usafi huo umefanyika katika hospital ya taifa ya Muhimbili ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe hizo.

Zoezi hilo la usafi lililoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa DSM Mhe. Amos Makalla  liliweza kuhudhuriwa na watu mbalimbali ikiwemo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Watumishi kutoka Hospital ya Taifa ya Muhimbili, Wadau mbalimbali  wakiwemo bank ya NMB, Wanafunzi wa  shule ya Sekondari Azania na Zanaki pamoja na wanachi wengine wakiongozwa na vijana wa bodaboda waliofika kwa lengo la uchangiaji damu katika hospitali hiyo.

Akizungumza katika zoezi hilo  Mhe.Makalla amewahimiza watu kushiriki nae katika zoezi hilo la usafi katika zahanati na vituo vya afya  vinavyowazunguka ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za Muungano."Nawapongeza sana wote mlioamka asubui na mapema na kujumuika nami katika zoezi hili la usafi ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kupendezesha na kusafisha Dar es Salaam niliyoizindua mwaka jana lengo likiwa ni kutunza mazingira na kuyaweka katika hali ya usafi."

Kwa upande mwingine  Mhe. Makalla aliweza kuongoza zoezi la uchangiaji damu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambapo amewahamasisha wananchi kuchangia damu ili kuokoa maisha ya wengine pia aliweza kuwapongeza vijana wa bodaboda ambao wameweza kufika kwa wingi katika hospitali hiyo na kuweza kuchangia damu  pamoja na kuchanja chanjo ya COVID-19 pamoja na kutoa wito kwa wananchi wengine kujijengea utaratibu wa kuchangia damu kwaajili ya kuokoa maisha ya wagonjwa.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Ilala Ndug. Ngw'ilabuzu Ludigija  aliweza kutoa shukrani zake za dhati kwa Mkuu wa Mkoa wa DSM kwa kuongoza zoezi zima la usafi hivyo kuwahimiza wananchi kijitokeza siku ya Jumamosi ya tarehe 30 April,2022 kufanya usafi ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya 'Safisha, Pendezesha Dar es Salaam' ambapo kimkoa mwezi huu itafanyika Wilaya ya Ilala.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.