• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Mkuu wa Wilaya ya Ilala awahakikishia wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kumaliza changamoto ya barabara

Posted on: January 10th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Ng'wilabuzu Ludigija amewahakikishia wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kumaliza changamoto ya kujaa maji iliyojitokeza katika Barabara ya Nyerere eneo la Kamata katikati ya Jiji.

Akizungumza alipotembelea Barabara ya Nyerere, Mhe. Ludigija amesema tayari ameshachukua hatua za haraka kwa kuwaelekeza wataalamu kutoka TANROADS kuchukua hatua za awali ili kutoa suluhisho la maji hayo kwa muda mfupi na muda mrefu.

"Tayari tuna boza ambalo limeshafika hapa maji yote haya yatanyonywa na boza hili na yakishaisha  tatizo kubwa ambalo lipo hapa tunayo mifereji ya maji ambayo iko chini na kiukweli mifereji hii kutokana na tukio tuliloona la mvua kidogo na maji yakajaa sana ni mifereji hiyo imeziba kwa hiyo baada ya unyonyaji wa maji haya tumeelekeza pia kwamba  itafutwe pampu yenye uwezo ambayo tayari tumeshaelezwa kwamba SGR wanayo hivyo watakuja kufanya kazi ya uzibuaji ili kuwezesha maji haya yaendelee kupita". Amesema Mhe. Ludigija.

Aidha, Mhandisi wa TANROADS Mkoa wa Dar es Salaam, Kitengo cha Miradi ya Maendeleo, Bi. Mwanaisha  Rajabu amewahakikishia wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kwamba TANROADS itaenda kumaliza changamoto hiyo ikiwa ni suluhisho la kudumu kupitia mradi wake BRT awamu ya tatu. "Kwa hiyo suluhisho la kudumu tutalipata  wakati wa ujenzi wa Mradi wa BRT awamu ya tatu, una kipengele cha kurekebisha miundombinu ya maji eneo hili, tayari mkandarasi ameshapatikana na yupo saiti". Amesema Bi. Mwanaisha.

Mhe. Ludigija pia ametoa maelekezo kwa taasisi zote za Serikali zinazoshugulika na barabara kupita na kukagua barabara zote ndani ya Wilaya ya Ilala na hasa katikati ya Jiji na kuhakikisha wanazibua mifereji yote ya maji.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.