• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Mkuu wa Wilaya ya Ilala azindua rasmi mabucha ya nyama Vingunguti

Posted on: September 5th, 2022

Katika kuboresha Mazingira ya wafanyabiashara wa Nyama katika machinjio ya Vingunguti , Mkuu wa Wilaya ya Ilala Ng'wilabuzu Ludigija ametoa siku 30 Kwa wafanyabiashara hao kutumia Eneo la mabucha mapya ya Nyama bila malipo yoyote ili wajipange Vizuri katika kipindi hiki wanachohamia hapo Kutoka kwenye eneo la zamani.

Mkuu huyo ameyasema hayo alipotembelea Eneo la Mabucha mapya kujiridhisha na Juu ya Utekelezaji wa Maelekezo yake aliyotoa siku za hivi karibuni  ya kuwataka wafanyabiashara wote wa Nyama katika machinjio ya Vingunguti Kuhamia katika Mabucha hayo yaliyojengwa na halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.

"Kwa wale ambao hawajatekeleza nasisitiza kwamba Nyama ya mbuzi na Ng'ombe inayochinjwa Kwenye machinjio yetu ya Vingunguti ni Lazima iuzwe kwenye Mabucha haya ambapo ni mahali safi na Salama

Nafahamu eneo hili ni finyu Ndio maana nimemuelekeza Mkurugenzi Kuhakikisha analipa fidia Kwa nyumba za pembeni ili tuongeze Kujenga Mabucha Mengine lakini sitaki kuona biashara ya Nyama inafanyika kwenye mazingira machafu na wote wanaokaidi maagizo yangu watachukuliwa hatua za kisheria" Alisema Mh.Ludigija

Vile vile Mkuu wa Wilaya Amesema kuwa Serikali ya Rais Samia  iweweka Fedha kwenye Ujenzi wa barabara ya Vingunguti Ili kurahisisha usafirishaji wa Nyama kimataifa pamoja na mikoa mingine ya hapa nchini hivyo ni Vyema wafanyabiashara hao wakubali mabadiliko na Sio kuishi Kwa Mazoea.

Kwa Upande wao wafanyabiashara wa Nyama wamepongeza hatua ya Serikali kuwajengea mabucha hayo ya kisasa  na licha ya Kujitokeza Changamoto kadhaa ambazo tayari baadhi zimeshafanyiwa kazi.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.