• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Naibu Waziri Aziagiza Taasisi za Umma Kuzingatia Viwango na Miongozo ya Usalama wa Mifumo ya TEHAMA

Posted on: February 2nd, 2019

Taasisi za Umma nchini zimeagizwa kuzingatia viwango vyote vya usalama katika mifumo ya TEHAMA wakati wa kubuni, kusanifu, kujenga, kusimika na kuendesha mifumo hiyo, badala ya kujenga mfumo kwanza na unapokamilika ndipo masuala ya usalama wa kufikiriwa.

Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa kwenye ufunguzi wa Kikao Kazi cha Pili cha Serikali Mtandao kwa kundi la Makatibu Wakuu na Maofisa Masuuli wa Serikali Kuu na Mamlaka ya Serikali za Mitaa uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Sayansi ya Kompyuta, Habari na Mawasiliano "UDOM-CIVE" jijini Dodoma Februari 1, 2019.

Dkt. Mwanjelwa amesema, tatizo la usalama mitandaoni linazidi kukua kadri maendeleo ya Teknolojia yanavyozidi kukua na hivyo, bila kukabiliwa kikamilifu, litaathiri kwa kiasi kikubwa jitihada zilizokwishafanyika katika eneo la Serikali Mtandao.

“Njia mojawapo ya kujihakikishia usalama, ni kuhakikisha utengenezaji wa mifumo yetu unazingatia programu ambazo watalaam wetu wanaweza wakatambua kinachofanyika badala ya kuwa na mifumo ambayo hatujui kinachoendelea nyuma ya pazia”,   amesisitiza Dkt. Mwanjelwa

Pia, amezihimiza Taasisi zote za Umma kuendelea kushirikiana na Wakala ya Serikali Mtandao “e-GA” kila zinapobuni na kutekeleza miradi ya TEHAMA ili kuondoa urudufu wa miradi na raslimali za TEHAMA miongoni mwa Taasisi za Serikali.

“Hatuwezi kuendelea kufanya kama tulivyofanya hapo awali kabla ya kuanzisha Wakala hii”. Ni ukweli usiopingika kwamba hakuna sekta yoyote iliyoendelea bila kuratibiwa, kwa hiyo ni vema tukazingatia miongozo mbalimbali inayotolewa katika kutekeleza Serikali Mtandao.

Aidha, Dkt. Mwanjelwa amesema kuwa, iwapo utekelezaji wa mifumo na miundombinu ya TEHAMA utawianishwa na kuwezesha ubadilishanaji wa taarifa ndani ya Taasisi za umma na baina ya Taasisi za umma, utoaji wa huduma kwa njia ya mtandao utakuwa ni  kichocheo muhimu katika kufikia maendeleo ya viwanda.

Kikao cha Pili cha Serikali Mtandao kimefanyika kuanzia Januari 30 hadi Februari 2, 2019 na kuhusisha zaidi ya watumishi wa umma 700 kutoka Taasisi mbalimbali Serikalini.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.