• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

RC Chalamila akagua miradi ya maendeleo ndani ya Jimbo la Ukonga

Posted on: May 28th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo Mei 28, 2024 amefanya ziara katika Jimbo la Ukonga ambapo amekagua miradi mitatu ikiwemo barabara ya Kitunda-Kivule-Msongola ,Hospitali ya Wilaya Kivule pamoja na ukaguzi wa tanki la maji lililopo Bangulo.

Akijibu maswali ya Wananchi wakati wa ukaguzi wa Barabara ya Kitunda-Kivule-Msingola, Mhe. Chalamila amesema Serikali inatambua changamoto ya Barabara hiyo ambayo imekuwa kero kwa Wananchi na kusema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe .Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia barabara hiyo iweze kujengewa kwa kiwango cha zege na utekelezaji kuanza Julai 2024.

Sambamba na hilo Mhe. Chalamila  amewataka Wananchi wa Kata ya Kivule pamoja na Kitunda  kuacha tabia ya kujenga mabondeni hali inayosababisha kujaa kwa maji katika makazi hayo na kuziba mitaro ya maji katika barabara.

"Kuna baadhi ya Wananchi wamekuwa na tabia ya kujenga kwenye maeneo ya barabara ambayo hupelekea njia za maji kuziba na hivyo mvua ikinyesha maji huingia barabarani, nipende kutoa rai yangi kwa Wananchi kuwa mara baada ya ukarabati, ujenzi utakapoanza kila mtanzania ajilinde mwenyewe kama amejenga eneo la barabara apishe ujenzi  na ikitokea mwananchi kukiuka hilo hatua stahiki zitachukuliwa”. Amesisitiza Mhe. Chalamila

Aidha Mhe. Chalamila pia aliweza kukagua ujenzi wa jengo la Wazazi katika Hospitali ya Wilaya Kivule ambapo aliwataka Wananchi kutumia miundombinu iliyopo huku akiwahakikishia kukamilika kwa miundombinu ya barabara kwani Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu ameboresha na anendelea kuboresha miundombinu ya afya ili kuendelea kuwasogezea wananchi huduma za afya kwa ukaribu zaidi.

Vilevile Mhe. Chalamila aliweza kukagua tanki la maji lililopo Bangulo ambapo aliwaeleza wananchi  adhma ya Serikali ni kuziondoa Changamoto zinazowakabili ikiwemo maji, umeme, urasimishaji na barabara ambapo amewahakikishia Serikali ni sikivu, kero zao zote zitaisha.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo amemshukuru Mkuu wa Mkoa kwa ziara yake ya kukagua miradi pamoja na kuongea na wananchi katika maeneo yote aliyokagua huku akimuhakikishia kutekeleza yale yote aliyoyaagiza.

Naye Meneja wa Tarura Mkoa wa Dar es Salaam Eng. John Magoli ameeleza kuwa barabara ya Kitunda-Kivule kuelekea Msongola ina Kilometa 16 ambapo Mei 31, 2024 zabuni itafunguliwa na Julai 2024 ujenzi wa barabarara hiyo utaanza kutekelezwa kwa kiwango cha zege.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.