• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Soko la Machinga Complex biashara sasa ni saa 24

Posted on: December 28th, 2024

Na: Shalua Mpanda

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeanza kutekeleza agizo la Waziri Mkuu mheshimiwa Kassim Majaliwa alilolitoa wakati wa ziara yake mkoani Dar es salaam ya kuhakikisha mitaa  na maeneo muhimu yote yanafungwa taa za mtaani kuwezesha biashara kufanyika nyakati zote.

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo Disemba 28, 2024 alizindua taa 21 zenye thamani ya Shilingi milioni 63,700,000 kwenye soko maarufu la "Machinga Complex" ili kuwezesha biashara katika eneo kufanyika saa 24.

"Na hili niliweke wazi,kuanzia leo baada ya uzinduzi wa taa hizi hakuna kupoteza muda, biashara sasa katika Soko hili ni saa 24....jambo la kufurahisha tuna kituo cha Polisi kilichopo katika eneo hili ambapo ulinzi utaimarishwa zaidi". Alisema Mkuu huyo wa Wilaya.

Aidha, amesema mbali na taa hizo katika Soko la Machinga, Serikali pia imefunga taa 33 zenye thamani ya Shilingi milioni 136,290,000 kuzunguka soko la Kariakoo huku kamera za usalama zikifungwa pia katika Soko hilo la Kimataifa.

Baadhi ya wananchi waliozungumza mara baada ya tukio hilo wameipongeza Serikali kwa uamuzi huo ambao utawapa muda mrefu wa kufanya shughuli zao na kuweza kuwaongezea kipato.

Ikumbukwe kuwa zoezi hili la ufungaji wa taa za mtaani (street lights) ni utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu alilolitoa kwa wakuu wa wilaya zote 5 zinazounda mkoa huu kuhakikisha mkoa wa Dar es Salaam unaondokana na giza hasa katika mitaa ili kuepusha vitendo vya uhalifu na kupendezesha Mkoa.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.