• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Ukaguzi wa miundombinu ya Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo Mkoani cha Ubungo

Posted on: April 21st, 2017

Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na Wajumbe wa Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Usafirishaji wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Patrick Asenga na wajumbe wa timu ya menejimenti ya Halmashauri ya Jiji wamefanya ziara ya ukaguzi wa miundombinu ya Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo Mkoani cha Ubungo.

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inaendelea kuboresha miundombinu ya kituo hicho na huduma mbalimbali zinazotolewa katika kituo hicho katika mwaka wa fedha wa 2016/2017 ili kuweza kutoa huduma bora ya usafirishaji.

Pamoja na ziara hiyo Wajumbe wa Kamati ya Mipangomiji, Mazingira na Usafirishajii wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wamepata fursa ya kuongea na wananchi na wafanyabiashara mbalimbali ndani ya kituo hicho cha mabasi na kusikiliza kero, malalamiko na changamoto wanazokumbana nazo na kuahidi kuzipatia ufumbuzi haraka ili waweze kutumia kituo katika mazingira bora.  


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 11, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 19, 2025
  • View All

Latest News

  • Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ataka vijana kupewa nafasi

    October 10, 2025
  • Taasisi ya CRDB Bank Foundation yakabidhi pikipiki na bajaji kwa vikundi vya wanawake na vijana

    October 04, 2025
  • Ujenzi wa "High School" ya kisasa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam washika kasi

    September 27, 2025
  • "Mkafanye suluhu kwa amani na haki" - DC Mpogolo

    September 26, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.