• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Wajumbe wa Halmashauri Kuu wapitisha taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Chama katika Halmashauri ya Jiji la DSM

Posted on: February 9th, 2024

Katika kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)  leo Februari 9, 2024 Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala imepokea Taarifa ya Utekelezaji wa miradi iliyotekelezwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuanzia Januari-Juni  2023.

Mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa Arnatouglou Jijini DSM na kuhudhuriwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, Mkuu wa Wilaya wa hiyo, Wajumbe wa Halmashauri Kuu Wilaya ya Ilala pamoja na Watumishi kutoka Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.

Akizungumza katika Mkutano huo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala Ndg. Alhaji Said Sidde amesema “Niwapongeze Wajumbe wa Halmashauri Kuu kwa kupokea na kupitisha Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) pia nipende kuipongeza Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa kutekeleza Ilani ya Chama kwani wameweza kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwa kuboresha huduma za wananchi. Niwaombe viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuhakikisha mnatekeleza yale yote tuliyowaelekeza wakati wa ziara yetu na pia muhakikishe miradi yote inatekelezwa kwa wakati uliopangwa."

Akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Edward Mpogolo ameeleza kuwa “Katika kutekeleza Ilani, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeweza kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika Idara zake zikiwemo Idara ya Elimu, Idara ya Afya, Idara ya Maendeleo ya Jamii pamoja na Idara ya Maliasili na Mazingira ambapo katika Idara ya Elimu Msingi na Sekondari, Halmashauri ya Jiji la DSM imeendelea kuboresha miundombinu ya shule za msingi kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2021/2022-2022/2023 jumla ya Tsh 15,100,339,616/=. Pia kwa upande wa kuboresha miundombinu ya Elimu za kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2021/2022-2022/2023 miradi hiyo ina thamani ya Tsh 25,755,408,582.5 utekelezaji wa wa miradi hii umetokana na fedha kutoka Gharama za mpango wa Elimu bila malipo, Serikali Kuu, Mapato ya Ndani ya Halmashauri na wafadhili, SEQUIP na BARRICK. Pia miundombinu ya Afya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kipindi cha miaka mitatu imepokea kiasi cha Tsh 11,346,768,015,  zikiwa ni za ukarabati wa miundombinu chakavu, Ujenzi wa vituo vipya vya Afya na ununuzi wa vifaa tiba. Kwa upande wa Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Jiji kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii imefanya uhamasishaji na kutoa mikopo kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu, Halmashauri imeweza kutoa kiasi cha Tsh 27,359,233,000 kwa vikundi 1963. Pia tumejitahidi kusimamia usafi wa mazingira kwa kusimamia wakandarasi wa uzoaji taka na vikundi vya uzoaji taka na kufanya mazingira safi zaidi."

Sambamba na hilo Mhe. Mpogolo ameendelea kusema “Tunamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kutenga fedha kwa ajili ya miradi mbalimbali ya Wilaya ya Ilala, pia Halmashauri ya Jiji tupo tayari kupokea maelekezo yote na kuyatekeleza kwa maslahi ya wananchi wa Wilaya wetu."

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.