• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Walimu Wakuu Jiji la DSM wamefanya ziara ya mafunzo Jijini Kigali

Posted on: June 7th, 2024

Walimu Wakuu wa Shule za Msingi Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wamefanya ziara ya mafunzo ya siku nne kuanzia Juni 4 hadi Juni 8, 2024 Nchini Rwanda lengo likiwa ni kubadilishana uzoefu katika masuala ya Elimu.

Aidha, mafunzo hayo yanayolenga kuongeza fursa na kuimarisha ubora wa elimu ya msingi katika Jiji la Dar es Salaam, yamehudhuriwa na Walimu Wakuu 48 kutoka Shule zote za Msingi za Jiji la Dar es Salaam na yanasimamiwa na Taasisi ya Rwanda Cooperation chini ya Wizara ya Mambo ya Nje Nchini Rwanda.

Kwa upande wake Mratibu wa Mafunzo hayo Mwl. Simon Mndendemi ameeleza kuwa “Mafunzo haya yamekua ni chachu ya mafanikio kwetu kwani tumejifunza mambo mengi ikiwemo matumizi ya ICT katika kufundishia na kujifunza, jinsi ya kupunguza mdondoko wa wanafunzi, mbinu za kisasa na kufundishia, utunzaji na uhifadhi wa mazingira, programu ya lishe shuleni,  ushiriki wa jamii katika kuchangia Elimu, utamaduni unavyoweza kutumika katika kukuza umoja ,uzalendo na uwajibikaji pamoja na  ubunifu na uendelezaji wa vipaji vya watoto, uboreshaji wa madarasa (smart classrooms) hivyo kutokana na mada hizi nimatumaini yangu tunaenda kuboresha elimu yetu”.

Sambamba na hilo, Mwl. Mndendemi amemshukuru Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kwa kuwawezesha kushiriki mafunzo haya huku akiaahidi kuwa kupitia mafunzo hayo watahakikisha wapunguza tatizo la utoro kwa wanafunzi, watawajali Walimu wengine kwa  kutoa motisha kwa Walimu na wanafunzi ili kuongeza ufaulu, wataweka mkazo katika kufundisha kwa njia ya vitendo zaidi kuliko nadharia , wataanzisha Programu za kutambua vipaji vya watoto, kuwatia moyo na kuviendeleza vipaji vyao bila kusahau kuweka mkazo katika matumizi ya vifaa vya TEHAMA kwa walimu na wanafunzi pamoja na kushirikisha jamii katika programu ya utoaji wa chakula shuleni na maendeleo ya shule yote haya yatasaidia kuboresha elimu na kuongeza ufaulu kwa shule za Msingi za Jiji la Dar es Salaam.

Aidha, akiongea kwa niaba ya Walimu wenzake Mwl. Anthony Everiste kutoka Rwanda amefurahishwa na ujio huo ambao umekua chachu ya wao kubadilishana uzoefu na kujifunza  kwani kupitia mafunzo hayo wameweza  kujifunza jinsi tunavyotekeleza mpango mkakati wa ujifunzaji (KPI) huku wakiipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan  kwa namna wanavyowajali Walimu kwani kwenye nchi yao haijawahi kutokea walimu wakapewa fursa ya kujifunza nchi nyingine.

Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.