• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaints |
Dar es Salaam City Council
Dar es Salaam City Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Dar es Salaam City Council

  • Home
  • About Us
    • City Profile
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Council Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Department
      • Finance, Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescue
      • Waste Management
      • Urban Planning, Environment and Transportation
      • Health Services
    • Units
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Legal and Safety
      • Public Relations and Protocol
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
  • Investment Opportunity
    • Tourism Activities
      • Our Dar es Salaam
      • Animal zoos
      • Cultural Arts and Traditions
      • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
      • Public spaces, Garden and Sports
      • Shopping, Entertainment and Social life
      • Historical and Heritage building and sites
      • Beaches, Waterfronts and Islands
    • Recycling of Solid Waste
  • Our Services
    • Motorcycle Permit
    • Taxi Parking Permit
    • Car Parking
    • Bus Terminals
    • Solid Waste Management
    • Land History Information
    • Burial for unclaimed dead bodies
  • Councillors
    • All Councillors
    • Standing Committee
      • Finance and Administration Committee
      • Urban Planning, Environment and Infrastructure Commitee
      • Planning and Coordination Committee
      • Social Welfare Committee
      • Ethics Committee
    • Council Meetings
    • Lord Mayor's Timetable
    • Former City Mayors
  • Projects
    • Completed projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • City Investments
  • Publications
    • Acts
    • ByLaws
    • Policies
    • Guidelines
    • Reports
    • Application Form
    • Integrity Pledges Form
  • Media Centre
    • Press Release
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Wananchi wahimizwa kuendelea kujiandikisha kwenye Daftari la Makazi

Posted on: October 16th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo leo Oktoba 16, 2024 amepita Mtaa kwa Mtaa kuhamasisha wananchi  kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la makazi ambalo lilifunguliwa Oktoba 11, 2024 na litadumu mpaka tarehe 20 Oktoba 2024 ili waweze kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa ifikapo Oktoba 27, 2024.

Wakati wa ziara hiyo, Mhe. Mpogolo alitoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa Serikali za Mitaa huku akiwaeleza wananchi hao tofauti kati ya Daftari la mpiga kura wa Serikali za Mitaa na daftari la kudumu la mpiga kura kwani katika daftari la Serikali za Mitaa mwananchi mwenye sifa za kupiga kura anaenda kujiandikisha katika daftari la makazi la mtaa husika na hamna kadi yoyote inayotolewa.

"Ili uweze kumchagua kiongozi bora na atakayeleta mabadiliko katika Mtaa wako ni lazima ujiandikishe kwenye daftari la Makazi ili ifikapo Novemba27, 2024 ushiriki kupiga kura hivyo niwaombe mjitokeze kwa wingi kujiandikisha kwa hizi siku 4 zilizobaki ili muweze kumpigia kura kiongozi bora lakini pia nitoe rai kwa watu wote wanaozuia wananchi kujiandikisha kwa sababu zozote zile kuwa hatua za kisheria zitachukuliwa nawatawajibishwa." Amesisitiza Mhe.Mpogolo.

Katika hatua nyingine, Mhe. Mpogolo amewaeleza wananchi juu ya Mikopo ya asilimia 10% kwa Vijana, Wanawake na watu wenye ulemavu huku akiwasisitiza wafanya biashara ndogondogo pamoja na viajana wa bodaboda kuchangamkia fursa hiyo kwani muongozo mpya wa utoaji mikopo kwa njia ya kibenki unaweza kukopa kuanzia laki tani hadi milioni mia hamsini na hauna riba.

Aidha, Mhe. Mpogolo katika ziara yake ya Mtaa kwa Mtaa aliambatana na Maafisa usafirishaji maarufu kama bodaboda wa Wilaya ya Ilala pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ambapo waliweza kutembelea Mitaa ya Kamata, Vingunguti, Banana, Kitunda, Kivule sokoni, Kivule fremu 10, Msongola, Chanika pamoja na Gongolamboto






Announcements

  • TAARIFA KWA UMMA February 19, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA - MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA January 17, 2025
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024 January 04, 2025
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2025 December 16, 2024
  • View All

Latest News

  • "Tutahakikisha tunasimamia Kata 36 na Mitaa 159 ili Jiji la DSM liwe safi" - DC Mpogolo

    May 03, 2025
  • Jiji La DSM laweka mikakati kushinda UMITASHUMTA ngazi ya Mkoa

    April 29, 2025
  • Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waadhimisha Muungano kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira

    April 26, 2025
  • Zoezi la usafi wa mwisho wa wiki laendelea

    April 12, 2025
  • View All

Video

Msimbazi Basin Development Project Implementation Area
More Videos

Quick Links

  • Former City Council Mayors
  • Motorcycle's Permit
  • Solid Waste Management
  • Smart Area
  • Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage
  • Beaches, Waterfronts and Islands
  • Cultural Arts and Traditions
  • Historical and Heritage building and sites
  • Public spaces, Garden and Sports

Related Links

  • BUNGE
  • Blogu ya Jiji
  • UTUMISHI
  • State House
  • Ilala Municipal Council
  • Tanzania Information Services

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    1 BARABARA YA MOROGORO 11882 DAR ES SALAAM

    Postal Address: S.L.P 20950

    Telephone: 0738 378 386

    Mobile: 0738 378 386

    Email: info@dcc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • Sitemap

Copyright © 2017 Dar es Salaam City Council . All rights reserved.